Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We kima hesabu hamjui kabisa unajua maana ya round off ama umeropoka tuu? Unajua sheria ya round off to the nearest number ikoje?
Kama uliitaka kufanya round off hiyo ilitakiwa kuwa 3 hours na sio 4 hours 😁
Unajua hesabu za proportion?

Msa-Nbo distance is 40km more than Dar-Dom
Tukiassume treni yenu inakimbia 160km/h ambayo ni uongo inakimbia kwa 140.
Time = 15min

Total 3:35+00:15= 3:50hrs
 
You're arguing with someone who doesn't understand rounding up and you're introducing velocity to the equation. You're going to have a had time.
 
Tena katika hesabu zangu hapo juu nimeamua kuwabeba kwa sababu hakuna vile treni yenye inakimbia 160km/h average speed inaweza kuchukua 3:30hr kutoka Dar to Dom. Hapo speed ni 140km/h kushuka
 
Wew mpumbavu imeandikwa wazi kwenye ile draft ya ratiba ya safari kwamba Treni itatumia 3:25 hours kwasababu itakua inasimama kwenye vituo, usichoelewa wewe ni nini? Au unakaza fuvu ? šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Unajua hesabu za proportion?

Msa-Nbo distance is 40km more than Dar-Dom
Tukiassume treni yenu inakimbia 160km/h ambayo ni uongo inakimbia kwa 140.
Time = 15min

Total 3:35+00:15= 3:50hrs
Nani kakwambia ni 40km more than.
Hizo hesabu umezitoa wapi wewe!?
Dar to Dom ni more than 470 kilometres.
Huo utofauti wa kilometa 40 umeutoa wapi!?
 
Wew mpumbavu imeandikwa wazi kwenye ile draft ya ratiba ya safari kwamba Treni itatumia 3:25 hours kwasababu itakua inasimama kwenye vituo, usichoelewa wewe ni nini? Au unakaza fuvu ? šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
Na alivyo fala anakwambia inakimbia speed ya 140kmphšŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚.
Huyu jamaa ni mgonjwa.
Na hiyo ya masaa matatu na dakika 25 ni ya kawaida.
Express itakua masaa matatu kamili au chini ya masaa matatu,kwasababu itakua ikisimama Vituo viwili vikubwa tu,Dar mpaka Moro mpaka Dodoma.
 
Ajabu ni kwamba ile draft ya ratiba ya safari kaipost yeye mwenyewe šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Wew mpumbavu imeandikwa wazi kwenye ile draft ya ratiba ya safari kwamba Treni itatumia 3:25 hours kwasababu itakua inasimama kwenye vituo, usichoelewa wewe ni nini? Au unakaza fuvu ? šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚

Ebu tuonyeshe hivo vituo manake naona kituo kimoja tu kwa ratiba ambacho ni morogoro tena baada ya dakika 5 treni inaondoka.
 
Haya piga hesabu zako kati ya saa 3 na dakika 25, ukitoa dakika 5 za treni kukaa pale kituoni inakua zinatumika masaa 3:20, sasa swali ni je wew haya masaa manne uliyapata wapi we kima? šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚ heb tueleze.
 
Unajua hesabu za proportion?

Msa-Nbo distance is 40km more than Dar-Dom
Tukiassume treni yenu inakimbia 160km/h ambayo ni uongo inakimbia kwa 140.
Time = 15min

Total 3:35+00:15= 3:50hrs
Try again.
We are talking about travelling time between Dar -Dom sasa hayo mahesabu yako feki yanatoka wapi hapa?
 
Unajua hesabu za proportion?

Msa-Nbo distance is 40km more than Dar-Dom
Tukiassume treni yenu inakimbia 160km/h ambayo ni uongo inakimbia kwa 140.
Time = 15min

Total 3:35+00:15= 3:50hrs
Hiyo assumption yako ya 140kph umeiotoa wapi we know operational speed iliyokuwa documented ni 160kph. Scientific arguments haziendi kwa kubuni vitu kichwani mwako.
 
You're arguing with someone who doesn't understand rounding up and you're introducing velocity to the equation. You're going to have a had time.
Angalia jinsi unavyodhihirisha kuwa elimu yenu ni mbovu mwenzako anazungumzia speed wewe unafikiri anazungumzia velocity ama hujui kuwa speed na velocity ni vitu viwili tofauti?
 
Back
Top Bottom