Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Facts are stubborn

Kenyan trains max speed of 200km/h
1721319112802.jpeg

Tanzania trains max speed of 180km/h
1721319199551.jpeg
Sasa weka video ikitoka Mombasa kwenda Nairobi usiweke picha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nimepitia comments hapo. Wala sijakoment chochote. Nimewaacha na upumbavu/ujuaji wenu.. watu wanasema vitu kutoka kwa gossips na wakenya wamemezeshwa false info kuhusu Tanzanians. Ndo maana wengi wakija huku Tz huwa wanashangaa maendeleo yaliyopo. Kwa sababu you look down to much on Tanzania. So mnakuwa na viburi na ego.

Lakini nikakuta comment ya Mrwanda hapo ambaye amewadescribe better na huu ndo ukweli. Kumbe other Africans wanawafahamu vyema wakenya? Ndo nimejua leo
Screenshot_20240719-094114~3.png
 
View attachment 3046101
Umejuaje ni Mrwanda?
 
Back
Top Bottom