Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jaribu kuangalia hata taarifa zao habari inahusu Tanzania anahojiwa kundurenda na tangia wahamie kibera nimeanza kuwaignore
BBC Swahili imekua nyang'au, wanataka tuige reaction ya cornered cat wakati hatujawa cornered. Wanashindwa kuelewa kwamba vitu kama njaa, sgr ya moshi mweusi, shida ya umeme, ardhi, n.k ndio chanzo ambapo TZ hakuna hizo shida

View: https://www.youtube.com/watch?v=qlN7VTNRppg
 
View: https://www.instagram.com/p/C9ZcTzBOg5g/?igsh=MXc3ZTl0enJzeW1nNg==
bashehussein_1720948559088919.jpg
bashehussein_1720948559088793.jpg
bashehussein_1720948559088225.jpg
 
Maiti zimekua takataka kwa huko Kenya.
Bimaana is not necessary to bury we weka katika Kiroba tupa dampo.
Uwakute sasa wakilecture dola nyingine za kiafrika, unaweza dhani Kunyaland ni Denmark, kumbe serikali yao ni ya kifedhuli na kiimla zaidi ya any failed state, huyu nduli Ruto Pamoja na kuendesha nchi kama saccos lakini wakundustan wana haki zote za kumshusha sababu mazingira wanayoishi hata shetani hawezi, umeona hizo slums na wala sio kibera hapo
 
BBC Swahili imekua nyang'au, wanataka tuige reaction ya cornered cat wakati hatujawa cornered. Wanashindwa kuelewa kwamba vitu kama njaa, sgr ya moshi mweusi, shida ya umeme, ardhi, n.k ndio chanzo ambapo TZ hakuna hizo shida

View: https://www.youtube.com/watch?v=qlN7VTNRppg

Wabunge wao wanaishi kama wapo peponi, wakundustan mps wanalipwa mishahara mikubwa kuliko Japan, UK, US, wanamiliki helicopters na ni wengi kichizi kumbe pesa zote hizo ni za IMF loans
Government expenditures zote ni commercial loans waliokua wanachukua miaka yote hiyo! Sio hata concessional loans

View: https://youtu.be/SZyohHRTwl8?si=Jha3jFrw4eSmWj2S
 
Halafu wanataka kufananisha huu mfumo wao wa utawala na mfumo wa huku kwetu😎
 
Hapo wa kabila la huyo looter watakuwa proud na utajiri wake na watamtetea kwa namna yoyote kana kwamba anavyoibia serikali ni kama analeta kombe la ushindi kwenye jamii yake yaani siasa zao ni za kishenzi kweli, ukiwakuta wanazozana huko kwenyewe comments utawashangaa
 
Wabunge wao wanaishi kama wapo peponi, wakundustan mps wanalipwa mishahara mikubwa kuliko Japan, UK, US, wanamiliki helicopters na ni wengi kichizi kumbe pesa zote hizo ni za IMF loans
Government expenditures zote ni commercial loans waliokua wanachukua miaka yote hiyo! Sio hata concessional loans

View: https://youtu.be/SZyohHRTwl8?si=Jha3jFrw4eSmWj2S

Nilisema Sana hapa hakuna tajiri kenya ambae sio mwanasiasa, tycoons wote Kenya ni wanasiasa na huwez kua tajiri Kenya kama hauko kwenye siasa au ukoo wa siasa, na ndoto Yao wengi ni kua wanasiasa ili waeze kua matajiri😁😁😁😁

Waone wanavoniangalia kwa jicho baya
 
Na ushahidi huu hapa kijana mdogo kabisa Gen Z mwenzao ila huyu ana akili kwa mwezi anaingiza $16k na ametokea humble beginning, Kunyaland huwezi kuta mtu tu bila ujambazi wa serikalini akaibuka tu na kufanikiwa, halafu wanaforce watanzania wawaige utafikiri tunafanana 😁😁😁

20240714_160857.jpg
 
Back
Top Bottom