Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,888
- 103,753
Una uhakika?👇👇Sisi tulienda Saudia kutembea 😅😅😅😅 na tumetembea karibu dunia nzima
Ulitaka Bilioni ngapi Ili wewe uridhike?😂😂👇👇Kukarabati soko la zamani billion 6 aisee🙌😅😅
Ndio kwani hizo Kodi zinatosha kuleta maendeleo Kila Kona ya Nchi hii? Kenya Wanakusanya Trilioni 47 ,why Tzn Trilioni 27?Na anakwambia haoni Kodi 🤣🤣🤣🤣
Juzi kasema anakopa kwasababu haoni Kodi zenyewe
Na hapa tunaambiwa Kodi zinaongezeka
Haya tuendelee kusifia chawa WA mama🤣🤣🤣
Mm naona tunaenda kwenye wrong direction so far tuletee mradi wa kutoka makutopora kwenda tabora na kutoka tabora kwenda isaka 😅😅😅😅😅😅Ndio kwani hizo Kodi zinatosha kuleta maendeleo Kila Kona ya Nchi hii? Kenya Wanakusanya Trilioni 47 ,why Tzn Trilioni 27?
Wewe unaona Kodi inapungua?
Kuna pesa inakopwa haielezi Cha kufanya? Mtaona tuu kwani kazi zimesimama?Mm naona tunaenda kwenye wrong direction so far tuletee mradi wa kutoka makutopora kwenda tabora na kutoka tabora kwenda isaka 😅😅😅😅😅😅
Tunataka kuona zile pesa zimekopwa zimefanya nn so far na ukumbuke miradi yote miwili ina about 2yrs now 😅😅😅😅
Usifkiri unajua kila kitu Mzee mengine hua tunayamezea Tu
Tuendelee kusifia,
😅😅😅😅😅😅 Naomba majibu plz👇👇👇Kuna pesa inakopwa haielezi Cha kufanya? Mtaona tuu kwani kazi zimesimama?
Mm naona tunaenda kwenye wrong direction so far tuletee mradi wa kutoka makutopora kwenda tabora na kutoka tabora kwenda isaka 😅😅😅😅😅😅
Tunataka kuona zile pesa zimekopwa zimefanya nn so far na ukumbuke miradi yote miwili ina about 2yrs now 😅😅😅😅
Usifkiri unajua kila kitu Mzee mengine hua tunayamezea Tu
Tuendelee kusifia,
Kwani wewe ukiona ni wrong direction kuna tatizo? Wengine si tunaona tuko kwenye right track in Jiwe's voice.😅😅😅😅😅😅 Naomba majibu plz👇👇👇
Naunga mkono hoja .Kuna mtanzania mwenzangu humu kwenye mada hii natamani nimuweke kwenye ignore list.
Naomba ushauri wenu
Huyu tunampa KMC tu,anakula 7.Hawa ndio wanataka kupambana na miamba
View attachment 3038858