Hii ndio Renovation π³ hatari aseeKasarani taking shape. Look at the environs and compare to Makwapa!!! I believe Makwapa will ashame EA with its sprawling dream houses
View attachment 3034875View attachment 3034876
No news anymore. It is the norm of the day.Habari zenu asbh njema ππ
View: https://x.com/K24Tv/status/1809446716493447277?t=1JOD7fg2klhATX1lwWLSLQ&s=19
Ninyi si ndio soko letu au ulitakaje?Mnatutegemea sana.
Bosi eh hawa wamegomea finance bill naomba unipe muda niwabembeleze halafu nivumilie kidogo usisitishe ufadhili nitawapanga tuu hawa malofa watakubali tuu.
Major non NATO ally. π€£π€£π€£π€£π€£Kenya is trending worldwide. Kenya is a country of many firsts
View attachment 3034844
Naafiki.Huu mtindo sio kipimo sahihi cha uchumi.
Maana hiyo Ethiopia ni inanuka umasikini na njaa.
Inawezekana pia linatumia makaa ya maweπ€£π€£Bila shaka Injector pump na piston rings zitakuwa zimechoka π€£π€£π€£
Dah! hapa kauaaaa. People are so serious wakiwa na njaa ππ
I can only see a large empty space on that pictureEti Dar es Salaam can compete Nairobi. Vichekesho. See that view of Nairobi from top 88 Tower.
View attachment 3034850View attachment 3034851View attachment 3034852View attachment 3034853
Hivi vitu jua kali mtaacha lini nyie nyumbu?Kisii is upgrading its stadium to be used by Shabana Fc as their home ground.
View attachment 3034880View attachment 3034881
Asanteeeee... π ndani ya picha moja unamaliza NaiporiEti Dar es Salaam can compete Nairobi. Vichekesho. See that view of Nairobi from top 88 Tower.
View attachment 3034850View attachment 3034851View attachment 3034852View attachment 3034853
Wakuu kuna kitu nimenotice naomba kujua why?
Kampuni Zilizoanzishwa Tanzania zikawa kubwa nowdays zimehamisha HQ Dubai yaani kama sielewi.
1. Mount Meru (Meru Oil)
2. Primefuel.
Mwenye elimu ya uchumi atusaidie.
Kama ni survey watakuwa waki administer questionnaire na kuuliza how much they earn per day mkulma hapati hela kila siku ila matumizi yake yanaweza kuwa quantified na kujua anatumia sh npapi kwa siku na hivyo kuweza kujua income yake per day or per annum.Naafiki.
Unakuta muuza mitumba anabudget ya TZS 10,000 nyumbani kwake, on the other side kuna mtu kijijini ana heka moja tu, ng'ombe 2, mbuzi 3 na kuku 6. Hapo kwenye heka anavuna ndizi, mboga za majani za kila aina, matunda, mahindi, maharage, n.k ambapo mara nyingi akitoa pesa ni kununua nyama na viungo vya chakula.
Sasa hicho chakula anacholisha familia huyo bush man ukimuuzia muuza mitumba inawezakua zaidi ya 10,000 kwa milo yote ya siku.
Ila nahisi hawa watu wa kijijini wengi ndio wanawakadiria kwamba ndio wanaishi chini ya $1 per day
When Dom route starts sioni ajabu wakifikisha abiria 250k per month.Wasione hii plz πππ
View: https://x.com/Hakingowi/status/1809564861484966123?t=4Vf8Rlp99ii1mIxZfVmglQ&s=19
π€£π€£π€£ kuna vitu havijakaa sawa kabisa,Haturuhusiwi kukosoa tunaruhusiwa kusifia Tu kaka, je mwanasheria unae??ππππ
Naona umepanda tena sana mkuuKwa I haujapanda? Kwani Hilo ni swala la kuuliza? Mama anataka Mapato yapande zaidi ya hapo ili Serikali ipunguze kukopa.ππ
View: https://twitter.com/mwigulunchemba1/status/1808806469833224278?t=i0vk0M7CueVt-9csXXWdGQ&s=19