Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Landing JNIA airport
images.jpeg
 
Yule injinia wa reli na mkurugenzi wa miundombinu, Machibya Masanja aliwahi kusema reli imasanifiwa kwenda hata zaidi ya 200km/hr ila kwa kuanzia RTC ilinunua hizo treni za kuhumili 160km/hr

Ulikuwa hufahamu hili? kila siku hapa tunamuelimisha Reborn tkd kuwa yeli yao haiwezi kwenda speed ya 200km/hr kwa sababu ya limitations za mtetemo.
Hata waziri mkuu alisema kwa mahitaji yetu ya sasa speed ya 160kph inatutosha ila huko mbeleni vizazi vijavyo wakihitaji speed zaidi wanaweza kununua trains zinazokimbia mpaks 205kph.
 
Suala la gdp 2023
Kwa africa nanba moja hadi kumi
1.Egypt gdp $395B
2.South Africa $377B
3.Nigeria $362
4.Algeria $239B
5.Ethiopia $162B
6.Morocco $141B
7.Sudan $109B
8.Kenya $107B
9.Angola $84B
10.Tanzania $79B
Nme note Ethiopia Wamepanda hadi sio vizuri sijajua wamefanya nn
Ethiopia ndiyo ana uchumi mkubwa EA lkn ndiyo wenye maisha magumu kuliko Kenya, kwa kifupi maisha magumu Ethiopia anaanza alafu anafuatia Kenya. GDP ni usenge mmoja hv wa west ili kutupumbaza, hv kwa miradi tuliyonayo unaweza kuamini Kenya inaizidi GDP ya Tanzania kwa sasa? Ni mpumbavu pekee atayeamini ujinga huo.
 
Back
Top Bottom