Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Suala la gdp 2023
Kwa africa nanba moja hadi kumi
1.Egypt gdp $395B
2.South Africa $377B
3.Nigeria $362
4.Algeria $239B
5.Ethiopia $162B
6.Morocco $141B
7.Sudan $109B
8.Kenya $107B
9.Angola $84B
10.Tanzania $79B
Nme note Ethiopia Wamepanda hadi sio vizuri sijajua wamefanya nn
Source please,naona unaishusha Tanzania.

Toa Sudan hapo weka Ivory Coast
 
tutolee mtambo wako wa chang'aa hapa,angalia joka hapo chini 👇 uzidi kuumia kwa wivu
No moshi at all, alafu huyo mbwa analeta picha eti bichwa la ng'ombe halitoi moshi, uliona wapi? Picha imepigwa bichwa likiwa limesimama eti "halitoi moshi" tubaki humu 👇 👇 🤣 🤣 🤣
Screenshot_20240624-211824~2.png
 
Makutupora to Isaka or Tabora to Isaka!?
Maana reli si imefika Tabora?

Makutupora to Isaka or Tabora to Isaka!?
Maana reli si imefika Tabora?
Reli haijafika Taboea kaka, reli imeishia Makutupora kuna kipande cha Makutupora to Tabora 294km na Tabora to Isaka 130km ,amabvyo walipewa yapi ila sijaona updates za ujenzi
 
Back
Top Bottom