President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,772
- 89,799
Hakuna wa kumfunga paka kengere.
Hawa mangese kwani huwajui, Nimetuma 5k right now from Mpesa mpaka I&M bank account freely bila transaction within seconds alafu bado wanashangaa na bank penetration in Kenya. Kila mtu mwenye line ya Mpesa ama Airtel tayari yuko bankedUsipoteze mada bradhee. Tunaongelea ujinga wa ndugu zako. Hivi wewe ulielewaje post niliyokurespond kuhusu MPESA na Bank Accounts?
Comparing Apple to oranges, Uk train price cannot be used in any African context, this is the laziest way to justify overpriced slowest bullet train in the world 😂😬Kuna uzi humu watu walikuwa wanasema ile 100,000/- ya Dar Dom ni ghali wanasema treni huko majuu ni rahisi kuliko usafiri wowote. Nikawauliza wapi huko coz nijuavyo treni London to Manchester ni £100, kwa bus ni £15 at the same time ndege London to Mallorca Spain ni kama £50 tu.
Kuna mjinga ameniquote leo on unrelated post akawika eti bongo kuna freedom of expression. 🤣 🤣Hohohoho 😂😂View attachment 3032425
Ng'ombe mwingine huyu katoroka zizini.Comparing Apple to oranges, Uk train price cannot be used in any African context, this is the laziest way to justify overpriced slowest bullet train in the world 😂😬
Says the person comparing Uk train ticket prices with vumbistan.Ng'ombe mwingine huyu katoroka zizini.
Hakuna binadamu docile kama mbongolala, Kenyatta senior anawaita corpse, unamchovia kidole na hatingiki 😂😂Kuna mjinga ameniquote leo on unrelated post akawika eti bongo kuna freedom of expression. 🤣 🤣
President is a Head of State. Siyo kama kwenu kila mmoja anandevu. Usipoheshimu mamlaka kwa hiari, utafundishwa kuheshimuHohohoho 😂😂View attachment 3032425
Haya mabus ya mchina kumbe yapo kenya, sasa mbona yakiwa Tanzania mnayaponda?🤣🤣
Usituambukize uwoga peleka huu ujinga kwa jukwaa la CCM.President is a Head of State. Siyo kama kwenu kila mmoja anandevu. Usipoheshimu mamlaka kwa hiari, utafundishwa kuheshimu