Marcelly
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 3,156
- 9,576
Tanzania inaongoza EA kwa uhuru wa habari.Kuna mjinga ameniquote leo on unrelated post akawika eti bongo kuna freedom of expression. 🤣 🤣
Basi huyo jamaa ataenda kunyea debe. Tanzania siyo Kenya mdogo wangu. Nyie mpo na most stupid Constitution in the world.Usituambukize uwoga peleka huu ujinga kwa jukwaa la CCM.
Can you own land in Zanzibar, you are foreigner in Zanzibar like me😬😬Basi huyo jamaa ataenda kunyea debe. Tanzania siyo Kenya mdogo wangu. Nyie mpo na most stupid Constitution in the world.
Sawa kabisa,ingekua jiografia imewafavor kama sisi wasingekubali,tena ni uzembe wetu ndio unafanya hata sasa burundi,drc na rwanda kutumia bandari ya msaKwa upande wangu tungewakaanga watumie hiyo route yao ili route ya centra ipate mizigo zaidi na kuikaanga Mombasa Port .
Umesahau kuitaja Tanzania, mizigo yake tunashusha hapa Mombasa na soon tunapiga transshipment Lamu.Sawa kabisa,ingekua jiografia imewafavor kama sisi wasingekubali,tena ni uzembe wetu ndio unafanya hata sasa burundi,drc na rwanda kutumia bandari ya msa
Umesahau kuitaja Tanzania, mizigo yake tunashusha hapa Mombasa na soon tunapiga transshipment Lamu.
Hawa jamaa kila kitu kwao kibovu.Chuma inahitaji overhaul hii 🤣🤣🤣
Ubaya wa diesel train ndio huu maintenance cost ni kubwa.
Sasa niache kuwa na ardhi huku bara niende nikabanane Zanzibar. Huo ni ujinga uliopitiliza.Can you own land in Zanzibar, you are foreigner in Zanzibar like me😬😬
Napenda vile huwa mnatumia nguvu nyingi kujuliwaza, like nani hawezi ona hio picha imekua edited tena very poorly lakini naelewa lazima agenda isonge mbele ausio. Lakini kaeni mkijua mmepigwa 😂😂😂Hawa jamaa kila kitu kwao kibovu.
Zile tunazotumia sisi huwa zinahifadhi nishati yani kama generator kuna muda zinatumia nishati iliyokua generated kutembea huko mbeleni.
Ndio maana unakuta hakuna hata moshi kiasi hicho.
Kati ya sisi na ninyi nani kapigwa!?Napenda vile huwa mnatumia nguvu nyingi kujuliwaza, like nani hawezi ona hio picha imekua edited tena very poorly lakini naelewa lazima agenda isonge mbele ausio. Lakini kaeni mkijua mmepigwa 😂😂😂
Zanzibar ni kubwa kuliko dar slum, wakati huo ina idadi ya watu 1M ilhali dar ina watu 8M. Wapi kumebanana, in short mmepigwa 😂😂😂Sasa niache kuwa na ardhi huku bara niende nikabanane Zanzibar. Huo ni ujinga uliopitiliza.
Halafu kwa taarifa yako 70% ya wazanzibari ni wanyamwezi toka Tabora na Shinyanga.