Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hivo main roads mnapiga picha alafu mitaani mnakuwa wavivu? Bradhee, danganyeni wadanganyika. Mitaa yenyewe hata lami hamna sasa mtaweka sidewalks kwa vumbi road? 🤣 🤣
20221124_135741-jpg.2439637
Wew kaa utulie nitakuletea picha za barabara za uswahilin zikiwa na side walks. Usijal😄
 
Wakishaapigwa huwa wanajaribu kuharibu mjadala hivo. Amegundua ile flex yake ya kula milo tano ni ujinga so aseme tu chochote mradi mjadala uharibike. 🤣 🤣
Narudia tena mimi nakula milo 5 kwa siku. Three traditional meals and snacks in between na hii ndio norm kwenye nutrition and diet uliza mtaalamu yoyote hakuna atakayepingana na mimi kuhusu hilo.
 
Nyie mnaolalamika Tz hawataki kutuuzia chakula hiyo si kuwa na worry ya kukosa chakula? Halafu jiulize motive iliyojificha kwa Gen Z ni nini kama sio hofu ya kutokula tumeona supermarkets ngapi mmevamia na yule mwamba wa kibera akijipigia msosi wa bunge live on camera 🤣🤣🤣
Mtu mwenye ile picha ya mkunya akikimbia na ugali naomba aweke hapa tafadhali ni hofu tu ya kukosa msosi mtu anajitwisha ugali wa moto.
downloadfile-37.jpg

Huyo hapo kaiba ugali akale na wanae,halafu unaweza kukuta huyo jamaa yupo kwenye huu uzi akidai kundustan ni usa ya afrika
 
Do you know why when people get sick are sometimes prescribed vitamins?
Kwanza,to boost their appetite so they they eat and boost immunity.
Mobilization of immune cells to fight diseases consumes alot of energy sioni mtu unawezaje kupata a quick relief without eating enough food.
There is a process called autophagy, a state where the body exercises "self eating" (removing unnecessary junk and throttling the healing process). The body must be running on ketones for this to happen. Knowing this, the brain inhibits a person from having desires to eat. Nutrients, like electrolytes and vitamins are okay but heavy meals are discouraged for maximization of the healing process.
 
Ona wanavyo tap tapa, si walijifanya wajanja na hiyo northern corridor. Sasa wanataka kujikomba kuingia na mlango wa nyuma.
Na Sisi hatuna hiyana, tutawaruhusu, watatulipa, watu wetu kwenye hiyo miji watafaidika, watalipa mizani, pesa zetu zitaongezeka!!
 
Back
Top Bottom