ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,414
- 88,508
Hata sijui. Hata mahindi ya GMO sijui. Hivi unajuaje kama hii ni GMO ? Labda nimewahi kula na sijui.Wacha nikuulize swali, ushawai kula GMO octopus? Ushawai kula GMO shrimp? Ushawai kula GMO squid? Alafu hivi, mwenzako amepigwa za uso akapostiwa seafood ya Tshs. 80k baada ya kumsema mwengine eti hana hela ya chakula na hapo jibu lake ni hiyo seafood ni GMO, huoni kama hiyo ni sour grapes incident? Mbona hujamkashifu kwamba sungura kakosa mizabibu kasema chungu? Jiulize hayo maswali utaona unafiki wako ulipo. Sio lazima unijibu ila najua utauona unafiki wako.
Swetie nimeshajishibia hapa nilipo natafuta usingizi halafu on second note sea food ya Tz ni balaa huwezi linganisha na hiyo aliyekula yule jamaa wa one meal 😁Ila kile chakula kimewaumiza sana. Mzee wa milo mitano. 😂 😂
Wako wengi tuu chinese shops.Wacha nikuulize swali, ushawai kula GMO octopus? Ushawai kula GMO shrimp? Ushawai kula GMO squid? Alafu hivi, mwenzako amepigwa za uso akapostiwa seafood ya Tshs. 80k baada ya kumsema mwengine eti hana hela ya chakula na hapo jibu lake ni hiyo seafood ni GMO, huoni kama hiyo ni sour grapes incident? Mbona hujamkashifu kwamba sungura kakosa mizabibu kasema chungu? Jiulize hayo maswali utaona unafiki wako ulipo. Sio lazima unijibu ila najua utauona unafiki wako.
India yenye watu 1.5 bln imezidiwa na kunyan!Wapi South Korea, wapi Norway, wapi Sweden, wapi Portugal, wapi Australia, wapi Belgium, wapi wapi....... Msenge wewe nenda ka edit tena, na huu ufala ndio unaofanya muwe failed state for ever.
Say halaa to budget 😂😂😂😂
View: https://x.com/ntvkenya/status/1806930819220468071?t=MJwi3tCNHU6TfbnXAeVq9g&s=19
Unyama ndio huu View attachment 3031614View attachment 3031615View attachment 3031616View attachment 3031617vibwengo vya north vitaishia kuziona kwenye picha tu. 🤣🤣🤣 cc The best 007.
Mimi sio Daktari lakini kwakua nimeshughulika nao kwa muda sana due to medical condition niliyo nayo. Kuna general assumption among them kuwa vitamins huboost appetite but in reality sio kweli. Haya mavitamins hutia tu mtu njaa na hayaboost appetite.Do you know why when people get sick are sometimes prescribed vitamins?
Kwanza,to boost their appetite so they they eat and boost immunity.
These white folks say anything to humiliate Africans.😳😳View attachment 3031568
Mrembo wa kisumu ndogo slum umekula?