Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dah pole sana kwa huyo mama, inauma sana. Lkn tatizo kuna sehemu nmeona huko Kenya mpaka watoto wanatukana serikali matusi mazito mazito aiseee, nchi gani hii kila mtu hana adabu? Na ndiyo maana mabalaa hayaondoki Kenya. Nchi ya kishenzi sijawahi kuona.
 

Sema jamaa kaongea ukweli.
Pesa inajulikana ina thamani ila maisha matatizo.😂😂😂😂
Tulitarajia kwa ukubwa wa uchumi wa Kenya basi watoe ruzuku katika mambo mengi ikiwemo mafuta,ila mafuta yapo juu bado.
Hata dawa za TB ziliwashinda Tanzania tukawaletea.
Aiseee hapana.
 
Bro, UK is a developed country, Tanzania is an impoverished country. Kulinganisha bei za UK na za Bongo ni ushabiki wa kijinga.
Hujaelewa point yake. Umepayuka na kupuyanga. Hebu soma tena

Kwanza hio EMU kawaida/economy ni 50k hayo 100k ni business na royal huko.

Basi kuna hadi za 45k na ni more than 8hrs wakati treni ni less than 3hrs
 
We kima hii huduma ipo Tanzania miaka mingi sana ishapita, sikutegemea uongee hv, wallahi tumewaacha mbali sana.
Best 000 .. why do you love puliing data outta your ass… just like your 300 million GDP?… 🤣🤣🤣… btw .. I might see former president Obama next Saturday in DC.. i promise to show him your profile photo as a proof of your mockery and disrespect…🤣🤣🤣… I will tell you what he says ..🤣🤣🤣
 
Wacha kumtusi ndugu yetu mtu mzima mlevi, Mobile money na masuala ya kufanya transfer pesa kutoka bank kuja kwa simu or vise versa ni habari ya kitambo sana hapa Tz.. sio habari mpya kama huyo mpumbavu mwenzako anavyodai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…