Marcelly
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 3,171
- 9,606
Mzee mwenzangu nahisi turudi kwenye uzi kama mwanzo jukumu letu ni kuwapa vitasa machokoraa wa kibera hizo gari zilikuwepo mda tuu japo kuna sehemu hawa wakujipachika madaraka wamelala ni migogoro kila kukicha na utekaji all in all watapita japo tutakuwa tumeumia sana maake saivi ni migomo kila kona yanchi Gwajima aliwahi kusema CCM itashinda hata kwa mtutu sawa baada ya kushinda inchi haitatawalika ndicho kinacho endelea kwa sasa mwisho wa siku gwajima alitimuliwa ccm na kanisa likafungwa naona na mwaposa ameambiwa abomoe mambo ni mengi tumuombe Mungu atupe uzima kuna mengi tutayaona
sisi ndio tunatamba na gari zilizoundwa kenya sisi bado tumelala na uchawa 😂😂