Wamepigwa na timu ya wavuvi 🤣🤣🤣Jana hawa nyang’au wamebondwa na Comoro mbili bila. Ndio maana hawajaposti matokeo ya mechi humu😎😎
Wamepigwa na timu ya wavuvi 🤣🤣🤣Jana hawa nyang’au wamebondwa na Comoro mbili bila. Ndio maana hawajaposti matokeo ya mechi humu😎😎
Mkuu fasting ina nafasi yake na muda wake katika maisha ya binadamu binafsi ushauri wa Janabi sikubaliani nao na hata yeye alisema hivyo ndivyo anavyofanya yeye and it works for him lakini sio kwamba anashauri watu kuwa hiyo ndio njia bora.Prof. Janabi atapingana na wewe.
Kula kula kila wakati siyo afya, mwili unahitaji kufanya repair (removing dead cells, free radicals, viruses and bacteria) na digestion inazuia processes vizo kufanyika.
Hivi unafikiri ni kwa nini unapoumwa unakosa appetite?
Tanzania does not belong to COSAFA other teams outside COSAFA are invited we have played that competition before and took the trophy.Why is Tanzania absent from COSAFA tournament?… serious question…
Mpaka leo naislum inatumia nguvu za vibatari, hivi Tanzania kuna hata duka linauza kerosene karne hii?
Wana haki zote za kumshusha zakayo
View attachment 3030726
View: https://youtu.be/dN03b3iG7yc?si=K601uCoMBdU4cL2M
Teargas atakuambia Kenya ni Singapore ya Africa, ha ha ha😎Nimecheka sana!
Kwa nini ukiumwa unakosa hamu ya kula?Mkuu fasting ina nafasi yake na muda wake katika maisha ya binadamu binafsi ushauri wa Janabi sikubaliani nao na hata yeye alisema hivyo ndivyo anavyofanya yeye and it works for him lakini sio kwamba anashauri watu kuwa hiyo ndio njia bora.
Healthy eating and exercise hiyo ndio holy grail ya longevity ukipiga na fasting kdg umemaliza ila habari ya kula mlo sijui mmoja au miwili tuu hiyo sio sahihi.
Huyu wamepiga ban ya muda gani?? mbona imetake time hivyo ama mazima?Teargas atakuambia Kenya ni Singapore ya Africa, ha ha ha😎
Na kweli sababu navyojua mimi kwenye railway ukiita train something express inakua kama ni brand tofauti service kwenye hiyo train therefore kama kulikua na Nyerere express na sasa kuna Samia express, hii Samia express inatakiwa kuwa tofauti na Nyerere express kwa kila kitu kuanzia speed ya train, huduma zinazotolewa ndani ya train, seat arrangements mpaka rangi ya seats na saa nyingine hata routes huwa tofauti, yaani ni whole different brand, ila ndio hivyo tuna inept board members TRC, siasa zinazidi professionalismKila class ya huduma au combo huwa na jina lake sasa flagship service/train hapo TRC kwa upande wa passengers ni nini sasa Samia ama nyerere express au hao wengine watakaukuja baadae?
Wangeadika hata motto ingekuwa afadhali lakini tuachane nayo tuu haya mambo may be they know better.
Vipi leo utatokea kwenye maandamano ya Gen Z?😎Tanzania can not be found in such statistics
View attachment 3031122
cooked data for Kundurenda! so familia za namna hii zinaishi modest houses zina Bank account? Au mpesa imekuwa Bank account?Tanzania can not be found in such statistics
View attachment 3031122
Ulivyosema ni sahihi jina la train lina define na kutofautisha aina ya huduma itolewayo au muundo tofauti wa train na operation schedule or particulars zake.Na kweli sababu navyojua mimi kwenye railway ukiita train something express inakua kama ni brand tofauti service kwenye hiyo train therefore kama kulikua na Nyerere express na sasa kuna Samia express, hii Samia express inatakiwa kuwa tofauti na Nyerere express kwa kila kitu kuanzia speed ya train, huduma zinazotolewa ndani ya train, seat arrangements mpaka rangi ya seats na saa nyingine hata routes huwa tofauti, yaani ni whole different brand, ila ndio hivyo tuna inept board members TRC, siasa zinazidi professionalism
Kama South Korea haipo, basi bago hilo ni la kuwafurahisha watoto wa Mama NginaTanzania can not be found in such statistics
View attachment 3031122
There are several reasons why we may lose our appetite when we are sick. One reason is that our body is using a lot of energy to fight off the illness, which can make us feel fatigued and less interested in eating. Additionally, some illnesses can cause nausea or digestive issues, which can make the thought of eating unappealing. It is also common for our taste buds to be dulled when we are sick, making food less enjoyable. Overall, our body may simply not feel up to the task of eating when we are sick, which can lead to a loss of appetite.Kwa nini ukiumwa unakosa hamu ya kula?
Mnajifanya mmesahau Tanzania iko juu kuliko nchi youote hapa EA kwa financial inclusion. Bank account ni mambo ya kizamani siku hizi ni digital money accounts.Tanzania can not be found in such statistics
View attachment 3031122