Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We Mzee mbona haya mambo ya zamani sana hapa kwetu, nyie ndio recent successful stories? Aisee mnachekesha sana, I bet humu wengi wenu mnashukuru sana huu uzi umewafungua macho toka gizani hata kama hamsemi, mmegundua mlikuwa mmejifungia kwenye shimo la tewa mkidhani mko Manhattan kumbe mko kwenye shit hole😅😅😅
Kuna mkenya juzi nimekutana nae anashangaa Tanzania kuwa Mpesa, tigopesa etc. wanadhani zipo kenya tu😂😂
Mwingine anashangaa najuaje English na ni mtanzania
 
1719938383671.png
 
Kuna mkenya juzi nimekutana nae anashangaa Tanzania kuwa Mpesa, tigopesa etc. wanadhani zipo kenya tu😂😂
Mwingine anashangaa najuaje English na ni mtanzania
Wakenya wapumbavu kweli hawajui the same year mpesa introduced in Kunyaland less than 6 months later the same company introduced it to Tanzania
 
Ona wanavyo tap tapa, si walijifanya wajanja na hiyo northern corridor. Sasa wanataka kujikomba kuingia na mlango wa nyuma.
Na Sisi hatuna hiyana, tutawaruhusu, watatulipa, watu wetu kwenye hiyo miji watafaidika, watalipa mizani, pesa zetu zitaongezeka!!
Too late for that. Burundi Rwanda and DRC mizigo yao kwa sasa wataikuta ISAKA dry port a distance of less than 400km from their respective borders ferried by block trains ila SGR ikikamilika wataikuta Gitenga, kigalii na Kindu. Huko kote tunafungus TPA dry ports.
Upande wa DRC TPA imeshakabidhiwa eneo la dry port on the other side of lake Tanganyika mizigo yao wata clear in their own country muda sio mrefu.
 
Kitu kama hii mara ya mwisho nilipanda UK, Virgin Express train. Leo hii tunapanda ndani ya Tz. Haya ndio maendeleo unayaona kwa macho.
That virgin train was very expensive especially morning rush hours imagine I paid £100 iliyosimana London to Glasgow 5hrs journey then I realized later a fligt would have costed me £46 from City Airport 😁
 
Back
Top Bottom