Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa hata hawajui finance bill ni nini. Wameiskia mara ya kwanza na haya maandamano ya Kenya. Hawa wapo wapo tu kama vifaranga kiotani, kila waletewacho watafungua tu midomo kukibugia. 🤣 🤣 🤣 🤣
maxresdefault.jpg
Mwendo wakenya wameumaliza. Baada ya miaka 10 Tanzania itaanza kupeleka msaada nchini Kenya.
 
Hizi ni sifa za kijinga zinazotolewa na Wazungu kwa viongozi wajinga wa kiafrica hasa baada ya kuziuza nchi zao kwa Wazungu. Hii ndio faida halisi ya mikopo, Kenya imeanza kuwatokea puani. Umesahau wao ndio walikuwa wakisifiwa kwa haya na rating agencies za Wazungu?
Ilimradi tuu roho inakuuma 😂😂😂😀
 
Ilimradi tuu roho inakuuma 😂😂😂😀
Roho inaniuma vipi wakati wewe mwenyewe umepost kuwa, IMF inasisitiza serikali ya Kenye ku-ignore maandamano na kuendelea na mradi wa tozo. Kenya ndipo walipoanzia huko. Visifa hivi vinakuja kwa nchi zinazofuata matakwa ya Mabeberu. Mi nipo kwenye hii mitandao dhidi ya Wakenya tangu 2003 huko sijui wewe ulikuwa na umri gani.

Walikuwa wakishabikia ujinga huu.
 
Hawa hata hawajui finance bill ni nini. Wameiskia mara ya kwanza na haya maandamano ya Kenya. Hawa wapo wapo tu kama vifaranga kiotani, kila waletewacho watafungua tu midomo kukibugia. 🤣 🤣 🤣 🤣
maxresdefault.jpg
Mzee kwenye bunge letu mambo yanafatiliwa word by word sisi hatufatilii tu articles za bill tunafatilia words used to make a phrase from the sentence in the bill


View: https://youtu.be/WJVtNG43Z4E?si=b79YoTu-xqP_mn0l
 
Back
Top Bottom