ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Kenya ndio imekua gumzo mitandaoni, Mnaija amekubali mziki..
View: https://twitter.com/tayoainafilms/status/1806033559263568372?t=rx9bM3EN7M2BPIjceslqIw&s=19
Gumzo gani wapuuzi nyinyi mumeonekana ni nchi iliofeli duniani kote 😂😂😂😂😂
Mpaka SASA Rais na viongozi wengine wanarushiana mpira wa dhambi haijulikani Nani ataubeba so far
Mulikua mukidanganya dunia ona SASA dunia inawaumbua 😂😂😂😂