Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo finance bill ni dawa kwa uchumi wao ulioelemewa na madeni na dawa siku zote ni chungu, huyu Rais wao alishakuta uozo tayari umefanyika na awamu iliyopita tatizo hakuwa mkweli aliwaaminisha wakenya akiingia kila kitu kingekua sawa wakati amerithi a bankrupted nation, wasipopitisha hiyo bill Kunyaland inaenda kuwa kama Zimbabwe in totality
Wewe hamna kitu unachojua, unazani wakenya ni wajinga
 
Wewe hamna kitu unachojua, unazani wakenya ni wajinga
Ni kweli nchi yenu imefkia sehemu mbaya ni lazma hio finance bill ipite ili muungue kisawasawa kunusuru uchumi wenu😅😅😅

MTU anakopa 250b ksh eti kurudisha thamani ya ksh against dollar hahaha Alooo na alionywa hakuskia mpaka economist WA dunia walimuonya haito chukua muda

Kenya Ni nchi ya kukopa halima kulipa John, Kenya haina hata mradi wa kusingizia, Leo mchina anajenga stadium Kenya na kuimiliki??😅😅😅😅😅😅😅
 
Wewe hamna kitu unachojua, unazani wakenya ni wajinga
Kwani wana akili? Kwanza hizi ni vurugu za kikabila zaidi hata ya uhalisia kama ni gharama za maisha kuwa juu ni toka awamu ya mwisho ya uhuru bado gharama zilikua juu na zimeendelea kuwa juu sababu ya kodi kubwa ambayo lazima ikusanywe ili walipe deni, zaidi ya 60% ya kodi yote inaenda kulipa deni la Taifa, unategemea serikali itaendeshwaje?
 
Back
Top Bottom