Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yaani chini kuna polisi watu wanavunja jengo na kuchoma moto la foreign country? Kenya how shameful is your country? Mnaweza kulinda nini? No wonder Al Shabab wamewashika makalio, mlipeleka Askari Polisi Haiti kufanya nini? Mnashindwa kudhibiti hao Wakora mtaweza wale gangstars? Haki nimesikitika, bure kabisa. Msiendelee kujilinganisha na sisi.
Mimi nashangaa huyu kilaza JM alifikiria nini hata kutaka kuwekeza majengo ya gharama vile huko kenya.. jamaa ni mpumbavu sana aisee.. tunaenda vipi kuwekeza kwenye taifa ambalo halina uhakika wa kesho yao.? Muda wowote watu wanachoma Mali za wawekezaji... this is shameful. Bro doesn't deserve the position.. he must resign..
 
Tulipofunga mikanda baada ya vita vya Kagera hawa nyang'au walitucheka sasa yamewakuta๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜
Hiyo finance bill ni dawa kwa uchumi wao ulioelemewa na madeni na dawa siku zote ni chungu, huyu Rais wao alishakuta uozo tayari umefanyika na awamu iliyopita tatizo hakuwa mkweli aliwaaminisha wakenya akiingia kila kitu kingekua sawa wakati amerithi a bankrupted nation, wasipopitisha hiyo bill Kunyaland inaenda kuwa kama Zimbabwe in totality
 
Ruto is in a fix he is between a rock and a hard place Kenyans must understand there is no other way apart from increasing taxes uchumi unaenda ku collapse the only way to save it ni kupitisha hiyo finance bill inabidi as a nation wafunge mikanda for at least 3-5 years before mambo zikae sawa.
Naomba hawa ndugu zetu waache fujo trust serikali yenu mambo yatanyooka tuu vurugu haisaidii chochote.
Si walikua wanashangilia ruto alipokaa kwenye kiti cha biden ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… mwengine akasema Kenya ni USA ya Africa

Tuliwaambia hapa ruto kaenda kukopa 250b ksh eti kurudisha uhai WA ksh against dollar hapo ndipo niliona wakenya ni wendawazimu
 
Nato and G7 member katelekezewa msala, mbona sioni international community wenzake wakisema chochote? Hamna hata troops ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
20240626_082204.jpg
 
Back
Top Bottom