chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,125
Mali ya mama nguna hiyo na haya maslum mengine ya chokaa from the other side
View: https://youtu.be/BEUvIaHG3J0?si=cVDJZITuE856rqg1
Mali ya mama nguna hiyo na haya maslum mengine ya chokaa from the other side
We are doing so great. Magufuli was a genius 👏 tungekuwa nae mpaka leo lah!
Hapa Ethiopian Airways tu 🇪🇹 hawa wengine kelele tu!
View: https://x.com/masingita1972/status/1802128950413431271
Sawa mzee wa Taifa tajiri 😂😂😂👇👇G7 wamebalance equilibrium wameweka taifa fukara zaidi duniani na taifa tajiri zaidi duniani
Baada ya peace talk lazima a display his firebrand kibakuli mwishowe utasikia Ruto secured free wheat or free something else 🤣🤣🤣Kenyan President Ruto. Is the African President.
Here leading peace talks on Russia and Ukraine
View attachment 3018180
Tandale enyewe sasa😂😂😂👇👇Mkundustan anakuambia Tanzania tuna low purchasing power wakati nyumba kama hizi bongo ni mpaka Tandale 😂😂😂
So Tanzania kila mtu ako na gari na hawaeziomba lift?😂😂😂. Juu kila siku Naona zombie Fulani hapa akiomba lift kwa pastor.View attachment 3018402
Wananchi toka taifa tajiri
Marais wa design hii ndiyo walioifanya Africa kufika hapa ilipo, kila siku safari, upumbavu huu.Kenyan President Ruto. Is the African President.
Here meeting world leaders to drum up support to various African courses including peace in Sudan
View attachment 3018184View attachment 3018185View attachment 3018186View attachment 3018187View attachment 3018188
Mali ya mama nguna hiyo na haya maslum mengine ya chokaa from the other side
View: https://youtu.be/BEUvIaHG3J0?si=cVDJZITuE856rqg1
Hii ni yenu???? 😅😅😅😅😅😅 Au Rwanda pia iko KenyaEbu uliza ichoboy01 kama kuna Electric Avatr 11 in Tanzania.
View attachment 3018330
View attachment 3018331
View: https://www.instagram.com/reel/C8H3-veN2yZ/?igsh=cnMyN3FxaTc2dmJx
Hawa Wanaoitwa wadau ni nyumbu tuu,hii Nchi ni kubwa sana yaani treni ya Dar-Dom ndio iue soko la Mabasi?
Ni vyema Serikali ikajikita kwenye mikopo nafuu badala ya mikopo ya kibiashara Kwa sababu tuu inapatikana kirahisi mwisho wa siku tuwe kama Kundustan 👇👇
View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1801849374776889640?t=-DcXBw3nQhOxRxMhqIjYOg&s=19
Yani nusu ya budget ni mikopo kaaah😂😂😂
Wewe Chokoraa wa Yemen hiyo sio number plate ya Rwanda, that’s a customized number plate. Kama hamna gari kama hiyo just accept.Hii ni yenu???? 😅😅😅😅😅😅 Au Rwanda pia iko Kenya
Dunia imebadirika sana mnuka nnyaa usijiongopee na vi articles mnavyotengeneza chumbani, Tanzania ya sasa inaongelea treni ya umeme.
Policy change affected its completion.I once told them they have a low purchasing power but it seems they usually don’t know what it means.