Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Purching power ya upuuzi, Unaelewa maana ya purchasing power?
Mwenzako hapo juu kuna comment aliandika Tanzania cost of living ipo chini, wewe unakuja kusema purchasing power ya Tz inazidiwa na Kenya, hivi nyie mnajielewa kweli? hamjui hata mnazungumza nini...

Nchi yenye purchasing power kubwa gharama ya maisha huwa inakuwa chini..
Kama hujui kitu sema ufunzwe Malaya hii. Purchasing power of an individual is different with a purchasing power of a currency.

Purchasing power of an individual is also known as consumer spending power.
 
Hii ni economics ya wapi kaka.., umekurupuka kimandazi sana, ebu rudia, eti "nchi yenye what?........."😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 nchi zile fukara fukara kama Tanzania, malawi, Uganda n.k, ndio ziko na maisha ya chini sana kwa mtazamo wa mtu anaye tokea kwenye nchi ya uchumi kubwa, yeye anaona maisha yako chini sana!.., kwa mfano a studio apartment, yaani bedsitter in New York is around $1,500 na zaidi kwa mwezi(Tsh. 3,900,000, Kshs.195,000), akija Kenya ama Tanzania ataona ni kama bei ya nyumba ni almost free..., na wako na purchasing power kubwa ndio maana bidha pia inapanda bei.., demand iko juu, so lazima price iwe juu, lakini fukara kama Tanzania,yenye mafukara wengi, puirchasing power uko chini sana, ndio kila mtu amudui maisha vitu ni cheap sana!!!!!
Huwa nasema hapa daily ati watanzania wote ni wajinga😂😂😂
 
Wewe kweli mpumbavu mbishi, kwahiyo unalinganisha maendeleo ya mji miji miwili kwa kuonyesha kenyan main road vs Kigoma random street roads.? 🤣🤣🤣 halafu unamwambia mwenzako aseme ukweli..? Wewe ni mpumbavu wa kutupa .
I knew his upumbavu ndio maana I did not waste my time kumjibu.
 
Hii ni economics ya wapi kaka.., umekurupuka kimandazi sana, ebu rudia, eti "nchi yenye what?........."😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 nchi zile fukara fukara kama Tanzania, malawi, Uganda n.k, ndio ziko na maisha ya chini sana kwa mtazamo wa mtu anaye tokea kwenye nchi ya uchumi kubwa, yeye anaona maisha yako chini sana!.., kwa mfano a studio apartment, yaani bedsitter in New York is around $1,500 na zaidi kwa mwezi(Tsh. 3,900,000, Kshs.195,000), akija Kenya ama Tanzania ataona ni kama bei ya nyumba ni almost free..., na wako na purchasing power kubwa ndio maana bidha pia inapanda bei.., demand iko juu, so lazima price iwe juu, lakini fukara kama Tanzania,yenye mafukara wengi, purchasing power iko down, so lazima bei ziwe chini sana, ndio kila mtu amudui maisha, yaani bidhaa na services ni cheap sana kwa mgeni anaetokea taifa lenye uchumikubwa with bigger purchasing power, mko hovyo!!!!!
Wewe unabweka tu. Unajua hata maana ya PPP? 🤣 🤣 🤣 🤣 Education System ya Kenya ni ya kijinga sana.
PPP is not Exchange rate.
Stupid Mama Ngina
 
Hii ni economics ya wapi kaka.., umekurupuka kimandazi sana, ebu rudia, eti "nchi yenye what?........."😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 nchi zile fukara fukara kama Tanzania, malawi, Uganda n.k, ndio ziko na maisha ya chini sana kwa mtazamo wa mtu anaye tokea kwenye nchi ya uchumi kubwa, yeye anaona maisha yako chini sana!.., kwa mfano a studio apartment, yaani bedsitter in New York is around $1,500 na zaidi kwa mwezi(Tsh. 3,900,000, Kshs.195,000), akija Kenya ama Tanzania ataona ni kama bei ya nyumba ni almost free..., na wako na purchasing power kubwa ndio maana bidha pia inapanda bei.., demand iko juu, so lazima price iwe juu, lakini fukara kama Tanzania,yenye mafukara wengi, purchasing power iko down, so lazima bei ziwe chini sana, ndio kila mtu amudui maisha, yaani bidhaa na services ni cheap sana kwa mgeni anaetokea taifa lenye uchumikubwa with bigger purchasing power, mko hovyo!!!!!
Kumbe we ni kiazi, nchi inayoongoza duniani kwa Purchasing power ni China, gharama ya maisha kwao ipo chini, hio ndio maana ya kuwa na purchasing power kubwa, njoo na 100 USD uje Dsm, halafu ukimaliza chukua hio hio 100 USD uende Nairobi, utagundua huduma zile zile ulizopata Dsm unakwenda gharamika zaidi ukiwa Nairobi, tofautisha GDP per capita na Purchasing power....

Huna lolote unafahamu..
 
Ukaiangalia hiyo smocha umeona vile Chapo imekauka? Ni kama hawakuipika na mafuta ya kutosha.😂😂😂😂
Hiyo sio smocha we kima, hiyo ni shawarma na haietengenezwi kwa chapati vole mnafanya huko kwenu may be nikusogezee karibu mbwa wewe utoe ushamba. 🤣🤣🤣👇
20240508_133841.jpg

Na wala usibanaike hiyo Shawarma moja ni 7000 tz sh
Kila mshkaki mmoja 10,000
Soda 1000 tu

38,000 tu hiyo meal wala usitokwe na roho bure kima wewe. 🤣🤣🤣
 
Hii ni economics ya wapi kaka.., umekurupuka kimandazi sana, ebu rudia, eti "nchi yenye what?........."😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 nchi zile fukara fukara kama Tanzania, malawi, Uganda n.k, ndio ziko na maisha ya chini sana kwa mtazamo wa mtu anaye tokea kwenye nchi ya uchumi kubwa, yeye anaona maisha yako chini sana!.., kwa mfano a studio apartment, yaani bedsitter in New York is around $1,500 na zaidi kwa mwezi(Tsh. 3,900,000, Kshs.195,000), akija Kenya ama Tanzania ataona ni kama bei ya nyumba ni almost free..., na wako na purchasing power kubwa ndio maana bidhaa pia inapanda bei.., demand iko juu, so lazima price iwe juu, lakini fukara kama Tanzania,yenye mafukara wengi, purchasing power iko down, so lazima bei ziwe chini sana, ndio kila mtu amudui maisha, yaani bidhaa na services ni cheap sana kwa mgeni anaetokea taifa lenye uchumikubwa with bigger purchasing power, mko hovyo!!!!!
Hawa wajinga hawajui what determines the prices of a commodity. Hawajui what is called supply and demand and how they relate price changes over time.
 
njoo na 100 USD uje Dsm, halafu ukimaliza chukua hio hio 100 USD uende Nairobi, utagundua huduma zile zile ulizopata Dsm unakwenda gharamika zaidi ukiwa Nairobi,
This is because the demand for items in Dar ziko chini kuliko supply. In Kenya the demand is higher than the supply.
 
Kumbe we ni kiazi, nchi inayoongoza duniani kwa Purchasing power ni China, gharama ya maisha kwao ipo chini, hio ndio maana ya kuwa na purchasing power kubwa, njoo na 100 USD uje Dsm, halafu ukimaliza chukua hio hio 100 USD uende Nairobi, utagundua huduma zile zile ulizopata Dsm unakwenda gharamika zaidi ukiwa Nairobi, tofautisha GDP per capita na Purchasing power....

Huna lolote unafahamu..
Wewe ni mbumbumbu, liboya on steroids!., boss, mtandao uko, check prices ya vitu.., rent ya bedsitter tu, a room with choo na ni bafu pia in China ni ngapi? anzia hapo ndio ujue Africa ni fukara na nyie ni zaidi.., niondolee upuzi wenu tafadhali..,
 
Comoro ni muhimu kuwepo hapo, isiwekwe kwenye others mana wacomoro Tanzania ndiyo India yao kwenye matibabu.
Kwa population ya Comoros kwenye percentage ni wachache. Hao kenya ni 4% ukija kuhesabu kwa idadi unaweza kukuta ni wakenya more than 3,000,000.
 
Mungu saidia watanzania waanze kukula food za maana😂😂😂

Mtu amefurahii kukula this thing na anaringa nayo kweli kweli 😂 😂
20240508_133848.jpg
 
Kama hujui kitu sema ufunzwe Malaya hii. Purchasing power of an individual is different with a purchasing power of a currency.

Purchasing power of an individual is also known as consumer spending power.
Kumbe we ni npunʞɯ eti?
mi naongelea PPP.. in compare currency ya nchi moja na nyingine through basket of goods, uwezo wa kununua bidhaa..
 
Hawa wajinga hawajui what determines the prices of a commodity. Hawajui what is called supply and demand and how they relate price changes over time.
Kuelimisha mtanzania ni kazi ngumu sana, wabishi na hawajui mengi.., buffoons
 
Kumbe we ni kiazi, nchi inayoongoza duniani kwa Purchasing power ni China, gharama ya maisha kwao ipo chini, hio ndio maana ya kuwa na purchasing power kubwa, njoo na 100 USD uje Dsm, halafu ukimaliza chukua hio hio 100 USD uende Nairobi, utagundua huduma zile zile ulizopata Dsm unakwenda gharamika zaidi ukiwa Nairobi, tofautisha GDP per capita na Purchasing power....

Huna lolote unafahamu..
Mzee kuanzia leo nakupigia salute kuhusu mambo ya Uchumi. Unapiga mle mle kabisa :NyanLove: :NyanLove: :NyanLove:
 
Back
Top Bottom