Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haya ni maneno yanatoka kwenye kinywa cha mtu mpumbavu. 🤣🤣🤣
Sasa wewe pia unaongea? Are you not the person mwenye alikuwa anaringa hapa for eating those low quality rice?

Najua umezoea kula takataka so just chill.
 
Issue ya Marsabit County Tumemalizana kiume 🤣 🤣 🤣 🤣 Msirudie tena kujaribu kujamba wakati mnaugua kuhara
Kwani nilikuwa najadiliana issue ya Masarbit na wewe? Leo pia umepewa lift? Ama pastor alichoka na wewe akakuacha?
 
Sasa wewe pia unaongea? Are you not the person mwenye alikuwa anaringa hapa for eating those low quality rice?

Najua umezoea kula takataka so just chill.
Nilikutambieni kwasababu most of you can't afford mbuzi wewe.. unataka hadi nikila shawarma nipost humu.? 👇
20240508_133848.jpg
🤣🤣🤣
 
Money circulation kwa biashara ipi we mpumbavu wewe.? 🤣🤣🤣 Mwanza ni capital of lake zone (the reason TZ's SGR imepelekwa huko), Arusha in the other hand is a world's safari capital and the world's home of Tanzanite game stone.. unaongelea hela kisumu kwasababu ya showroom.? 🤣🤣🤣 fala kweli wewe. Tena ukome kuzitaja Mwanza na Arusha in the same sentence na hiyo kijiji kipoison.
Do you know the meaning of money circulation?

Hakuna any vehicle brand showrooms Mwanza ama Arusha
How many malls do Mwanza have? I guess ni moja. What about Arusha? Ni mbili.
How many banks are in Mwanza? How many are Arusha?


There’s no day Mwanza and Arusha itawaifikia Kisumu in your lifetime.
 
Mchele wa Korie from Tanzania Kenya mnaukubali sana, na kuna Kenyans wana sample kwa ku print mifuko halafu wanaweka mchele wao haueleweki sijui ni wa GMO ule? kulikua na hio kesi, waKenya wanalalama wanalishwa Korie fake, wanataka OG kutoka Tanzania.

Labda nikuibie siri tu , Hio Korie yenyewe sisi huku tunalisha wafungwa nyie huko ni masonko ndio wanakula.
60790092bae5464fb366bdaf348496.jpg
Sijaiona hii brand Kenya.
 
Usisahau kuwaambia Marsabit ni eneo Kame na one of the poorest counties in Kenya.😂😂
A desert has more GDP per capita than a fertile region with 2.4 million souls and the deepest fresh water lake in Africa. You can't make this stuff up😆
 
Nilikutambieni kwasababu most of you can't afford mbuzi wewe.. unataka hadi nikila shawarma nipost humu.? 👇View attachment 3015348🤣🤣🤣
Sasa smocha ya 80 bob na coke ya 30bob ndio unapiga nayo kelele hapa? In summary umekula lunch ya 110 na I’m the person in charge of that bill is the owner of the other plate.

Wewe kila siku unakuanga vitu cheap and substandard and to make the matters worse unajua kuringia watu huku. No wonder kila mtu anakuita maskini.
 
A desert has more GDP per capita than a fertile region with 2.4 million souls and the deepest fresh water lake in Africa. You can't make this stuff up😆
🤣 🤣 🤣 🤣 Stori nyiiingi kama kawaida yenu.
Hawa ndio unawaita wenye GDP kuwa zidi kigoma 🤣🤣🤣🤣 👇👇👇👇

1718186067083.png
 
Back
Top Bottom