Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haya posta ya Half pekee yake. Tupe ya Full 🤣 🤣 🤣 Tafuta kazi nyigine kijana. Tulishatoka huko.
Which Sport is Tanzania good at?😂😂😂

1717932001555.jpeg
 
Habari wakuu Mimi Nina certificate ya laboratory technician pia Nina experience ya miaka 3 kuhusu laboratory technician, laboratory analysis, QC,QA pia blending oparetor au syrup oparetor pia naweza kufanya kazi popote pale penye maabara au panapozalishwa bidhaa .yeyote atakaye nisaidia kupata connection ya job nipo tayri kuingia naye mkataba awe anakata 10% ya mshahala wangu ndani ya miezi 12.asanteni
 
Hakuna unachojua kwa magari. Unaezamiliki gari lakini hujui anything huko😂😂😂.
Magari yenyewe ni fossils😂😂
Huoni amepost S class na badge ya Maybach immediately after nairobae kumwambia Wabongo wanaweka badge ya Maybach kwa S class? Huyu Myemeni hajui magari.😂😂

1000101423.png
 
Back
Top Bottom