Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leo nimefurahi sana😂😂😂😂

From Mobius hawajaiuza magari kumi to hawajaiuza 50 to in 14yrs wameuza only 80 to now wameuza 500. Umesimama wapi tujue?😂😂😂
150 + 80 = 500 haya tupige makofi kwa pamoja 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

14good years ndio kitu tunaoneshwa hii Yani Naskia aibu kubwa Sana na nilisema nothing works in Kenya unielewe namaanisha mm naijua Kenya kuliko unavodhania ww chizi
 
Nikama hujui facelift nini.
🤣 🤣 🤣 Pitia comments huko ig usaidiwe na wabongo wenzako wale ni wajanja.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Utakubali mm nikikwambia watanzania Wana pesa chafu Sana alaf ni vijana WA kawaida Sana sio wanasiasa wala nini
 
150 + 80 = 500 haya tupige makofi kwa pamoja 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

14good years ndio kitu tunaoneshwa hii Yani Naskia aibu kubwa Sana na nilisema nothing works in Kenya unielewe namaanisha mm naijua Kenya kuliko unavodhania ww chizi
Ebu tuambie umesimama wapi😂😂😂

Kwanza ulisema hawajaiuza 10 cars, to hawajaiuza 50 cars, to they have only sold 80 cars in 14yrs to now they have sold 500 cars.

Ebu tuambie your final conclusion tujue😂😂
 
Hatujielezi sana.

1717784257165.png
 
Ebu tuambie umesimama wapi😂😂😂

Kwanza ulisema hawajaiuza 10 cars, to hawajaiuza 50 cars, to they have only sold 80 cars in 14yrs to now they have sold 500 cars.

Ebu tuambie your final conclusion tujue😂😂
Mm nimesimama hapa 80+150= 500

In 14 good years najiskia aibu Sana 🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Utakubali mm nikikwambia watanzania Wana pesa chafu Sana alaf ni vijana WA kawaida Sana sio wanasiasa wala nini
Hamna pesa. Mngekuwa na pesa hamngekuwa mnanunua magari zenye zimetengenezwa 20yrs ago😂😂😂
 
Back
Top Bottom