Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,894
- 103,759
Hivi kwann hawa HAL wasiungane na RSA kuanzisha Toyota assembly plant Tanzania for tourism’s?
Hivi kwann hawa HAL wasiungane na RSA kuanzisha Toyota assembly plant Tanzania for tourism’s?
Mkutano mkuu ya young Africans 🇹🇿🇹🇿
View: https://www.youtube.com/live/HoJwaVSeSM4?si=QeVILVN-T1v6NDwW
Nadhani wanachokifanya kinawapatia faida zaidi.Hivi kwann hawa HAL wasiungane na RSA kuanzisha Toyota assembly plant Tanzania for tourism’s?
Hapana kuna kitu kinaitwa ku-secure the future in that market segment nadhani wanapaswa kukiangalia! Wanapaswa waendelee kukua kama sekta ya utalii inavyokua!Nadhani wanachokifanya kinawapatia faida zaidi.
Correction Dar - Kigoma ni 1600kmJust imagine na Dar to Kigoma ni 1255km wakati naislum to moyale ni 777km, pia umeona kashangaa kuona kuna paved roads mpaka kwenye streets za back the main road tena zina taa kabisa, moyale tofauti na main trunk road hakuna hata tone la lami, na hapo bado barabara zote za Kigoma hazijakamilika.
Your urgent need and priority as a country rightnow is food sufficiency and reducing unemployment.My sources tell me South Korea will deliver high tech military assets to KDF courtesy of the US …. The fruits of being a non NATO ally …poor mama , she got outfoxed by Ruto…
Wakenya walikua wanatuzidi tu PR ila kiukweli ni hawatuwezi, kwa huku kujitangaza tulikonako kwasasa watches abu tu nyayo, mana haitokua kuwapita ila ni kuwavuka.Tanzania ni ya moto sana. Sisi tunaonesha Assets wao wanaonesha Liabilities
View attachment 3012638
View attachment 3012643
mbona sioni kama ni Mkenya kaandika hiyo!Mkenya akiwa kwenye the best job ever they were called for, licking yts asses professionally 🚮
View attachment 3012677
Wapi? Kwanza Toyota wanatumia wanatoa pale AVA Mombasa. Kazi Yao ni elongation tu.Hivi kwann hawa HAL wasiungane na RSA kuanzisha Toyota assembly plant Tanzania for tourism’s?
Are you aware that Kenya earn more revenue from Tourism than Tanzania?Wakenya walikua wanatuzidi tu PR ila kiukweli ni hawatuwezi, kwa huku kujitangaza tulikonako kwasasa watches abu tu nyayo, mana haitokua kuwapita ila ni kuwavuka.
We have the most developed infrastructures in the region utake usitake, Kenya doesn't have infrastructures to qualify that status, hata ulie nchi yako haina hizo sifa but my country have 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mimi ni nani nipingane na maoni ya kila kilaza humu ndani .?Are you aware that Kenya earn more revenue from Tourism than Tanzania?
Utoto huu. Tulishatoka huko mzee. Bado unatumia old school Propaganda. 🤣 🤣 🤣 🤣
Ligi hajulikani hii. Sijawahi kuisikia ikitangazwa. Hebu tuambie ni mashindano gani haya?