Lemme tell you one thing, Tanzanian celebrities are Kings and Queens of clout hata wao wenyewe husema hivo. Kuna wakati some big wig in their entertainment industry alisema kitu wanamuziki wao wameshindia Kenya ni clout. Ushawai jiuliza kwa nini wakianza kuonyesha magari na manyumba humu huwa wanaonyesha ya celebrities? The difference in Kenya is most famous people do not show off like Tanzanians do. You have celebrities like Nameless, Octopizzo, Redsan, Jeff Koinange et al who are obviously rich but no one knows what their house looks like or what cars they drive. Hapo bongo hata mtoto wa chekechea anaijua nyumba ya Harmonize na ukimuonyesha atakwambia hii ni nyumba ya Harmonize. Wewe umeona huyo Juma Jux kununua tu E Class ya 2016 tu inakuwa delivered kwa flat bed masherehe hadi champagne zinafunguliwa. Hilo ni gari lenye utapata mwalimu wa shule ya msingi akimiliki hapa Kenya.🤣 🤣