Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Magari ninayomiliki mm nishindwe kujua magari hahahaha wewe bado Sana budaa

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hakuna unachojua kwa magari. Unaezamiliki gari lakini hujui anything huko😂😂😂.
Magari yenyewe ni fossils😂😂
 
Hakuna unachojua kwa magari. Unaezamiliki gari lakini hujui anything huko😂😂😂.
Magari yenyewe ni fossils😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Jaribu kunidanganya kama unaweza
 
Nchi yetu kubwa sana hata nusu hatujafikia kuijaza ni mapori kila mkoa
Sisi ni akili kubwa 🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥View attachment 3011120

Sifa moja ya watu maskini ni kupenda ngono. 😅😅😲View attachment 3011288

Tanzania ni kubwa karibu mara mbili ya nchi ya Kenya ambapo ukubwa wake ni 945,078 km² while kenya is 582,646 km²
Halafu makadirio ya population Tz ni 69,294,772 while makadirio ya watu hapo kenya ni 56,203,030

Ni taifa gani lenye maskini wazinzi wengi hapo.? 🤣🤣🤣 kanchi kaduchu ila kana watu wengi balaa
 
Back
Top Bottom