These people are not serious smh
Ni aibu kubwa sana hii kwa siasa za Tanzania
Mwenye uelewa tu ndo ataona aibu au uozo uliopo kwenye hii ishu
View: https://twitter.com/mx__chichi/status/1798380698728087827?t=lLVDfcaeSg5OM6g0Zu6Cjg&s=19

Me nasema kila siku kuwa na Rais kama huyu anayezungukwa na kundi kubwa la MACHAWA ni hasara kwa taifa tena.........alipaswa kuwa mbunge viti maalum na sio Rais wa nchiMaza ni serial failure tangu shule ya msingi to Secondary ni mtu wa F. Anafeli kila kona kila kukicha. Anateua mpaka maiti!
HujaelewaUsiwe mrahisi hivyo! Yani nama amtoe kisa wakenya wamecomplain??
Ile picha ina ubaya gani??? Yuko uchi pale??
Au labda sijakuelewa, kuna aibu gani??
Wao waneenda na agenda ya kuomba sisi tunatumia sera yetu ya economic diplomacy 🤣🤣🤣🤣Yani hata sijui Wanaumia na nn 😂😂😂😂
Wanahisi kama Tanzania imewapiga bao south Korea
Hata mimi nimeshangaa anamaanisha nini? Si ajabu alipost baada ya kunywa pombe na makalio 🤣🤣🤣So hio ndio nini??😂😂😂😂😂
View: https://x.com/JM_Puns/status/1798784248666788217?t=QKDItU0yjxI0w0knAtlHzA&s=19 kunyaland ndio imeuzwa ndio maana imekua ombaomba
Wanakopa na kuombaomba aiseeDah kuna watu wanaongoza kwa kuchukua loans from IMF🤣🤣🤣
Kunyaland Watatembeza bakuli Kama Kawa!Miaka yote Kenya wamekuwa waumuni wa bajeti kubwa hata kama haitekelezeki mipango inabakia kwenye makaratasi tuu. Bora Tanzania tuliliona hilo mapema tuka tone down budgetary expansion commensurate na income yetu kila mwaka tunafanya marginal budget expansion thereby achieving a good fiscal consolidation which is healthy economically.
![]()
World Bank Deems Ruto's Tax Plans Unrealistic and Unpredictable - Nairobi Wire
The World Bank has warned that the Kenyan government is failing to collect as much revenue as planned, making fiscal consolidation harder. The International financial institution added that this is compounded by unrealistic revenue forecasting or overly optimistic revenue projections, which can...nairobiwire.com
Miaka yote Kenya wamekuwa waumuni wa bajeti kubwa hata kama haitekelezeki mipango inabakia kwenye makaratasi tuu. Bora Tanzania tuliliona hilo mapema tuka tone down budgetary expansion commensurate na income yetu kila mwaka tunafanya marginal budget expansion thereby achieving a good fiscal consolidation which is healthy economically.
![]()
World Bank Deems Ruto's Tax Plans Unrealistic and Unpredictable - Nairobi Wire
The World Bank has warned that the Kenyan government is failing to collect as much revenue as planned, making fiscal consolidation harder. The International financial institution added that this is compounded by unrealistic revenue forecasting or overly optimistic revenue projections, which can...nairobiwire.com
Kuna kunyan wananunua ardhi TZ,hasa wa mombasa,wanadai ile sheria ya kumiliki ardhi kama si m TZ haina nguvu,wangejua kama wanatapeliwa wangelia aiseeAki na mimi nitaenda kuwa politician Kenya ghai!
![]()
List of largest land owners in kenya who own 500000 acres and above - trendinginkenya
According to the Kenya Land Alliance, 20% of the population own more than 65% of productive land in Kenya The largest landowners in Kenya control about half of the total arable area even as thousands of Kenyans continue to live as squatters. 1 Kenyatta family The Kenyatta family owns over...trendinginkenya.com
Ukitaka kujua ukubwa wa hiyo tunnel angalia magari yanavyoonekana, ni kama sisimizi, hiyo picha imepigwa mbali sana, hiyo tunnel ni kubwa.Bye bye double stacking 😂😂😂😂🙌