Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The scramble and partition of uswazistan😅😅🙌
IMG_20240606_105908.jpg
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Wewe na Sisi tunaojenga Nani anajua zaidi
Obviously Myemen kama wewe huwezijua kinachofanyika Tanzania.
 
Upumbavu mtupu, jengo la kituo cha utalii lakini hakina identity yoyote ya masuala ya kitalii, hii mimi huniumiza sana sema basi tu, unakuta airport terminals zimejengwa kipuuzi majengo ya wizara na taasisi yana awful dead taste hayana reflection yoyote wala inspiration kutoka Africa wala ya Tanzania wala uniqueness yoyote meanwhile zipo tones of designs zinazoweza kutumika na kufanya jengo la budget ya kawaida kabisa kuwa kama landmark, ukifika Namibia na Botswana utanielea

View attachment 3010415View attachment 3010416View attachment 3010417View attachment 3010418View attachment 3010419View attachment 3010420View attachment 3010421
Kwa nini Huwa hamuwapi input mapema? 😁😁

But Hilo jengo sounds like ni Makao Makuu ya Tanapa Kanda ya Nyanda za Kuu Kusini (Southern Tourism circuit)
 

Kenyans have higher standards and expectations of their government… I bet if you surveyed Bongolalas on the question of how much they trust their government immediately after Mangufuli died ( knowing of all the lies), they would have responded by 90% that they trust the government fully… talk of low esteem…🤣🤣🤣.. Kenyans we are a different breed .. we don’t worship government…
 
Back
Top Bottom