Marcelly
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 3,152
- 9,571
Akuoneshe Kwan wewe traffic ??😂😂😂Ebu tuonyeshe logbook ya hiyo gari😂😂. Anytime ukipewa lift ati gari yangu😂
umeumia ? 🤣 🤣 🤣 🤣 Basi ichomoeEbu tuonyeshe logbook ya hiyo gari😂😂. Anytime ukipewa lift ati gari yangu😂
Who told you traffic ndio huwa wanaonyeshwa Logbook? Ni nini unajua kuhusu magari wewe?Akuoneshe Kwan wewe traffic ??😂😂😂
Mbona niumie?😂😂😂.umeumia ? 🤣 🤣 🤣 🤣 Basi ichomoe
Imekuuma? 🤣 🤣 🤣Mbona niumie?😂😂😂.
Mtu wa kupewa lift aniumize kwa nini?
Walianza kushusha population yao, wakundustan wapo wengi kama kumbi kumbi ukiangalia consumption yao ya sukari na cha vyakula vingine ndio utajua wapo wengi mno, walifake population ili GDP ije kubwa.Kwa namna wameipandisha GDP yao juu ni lazima pia wapandishe makusanyo juu... Uongo wa kwanza unafunikwa na uwongo wa pili..
Hiyo kitu itaendelea kuwatesa sana, hadi watakapo amua kuishi kwenye uhalisia na ukweli. Na siku hiyo ndio rasmi itatangazwa kunyaland ni Nchi muflisi... Kama kwa fake GDP tayari wamevuka ukomo wa ukopaji... Wakijishusha kwenye uhalisia kitatokea nini?
Kwenye pages za madalali wa Tanzania wakundustan wanaongoza kwa kutaka kununua nyumba na viwanja Tanzania wakitoka wakongo, Tanzania ndio nchi ya ndoto zaoKuna kunyan wananunua ardhi TZ,hasa wa mombasa,wangdai ile sheria ya kumiliki ardhi kama si m TZ haina nguvu,wangejua kama wanatapeliwa wangelia aisee
Kuna mpumbavu mmoja alikua anadanganya umma kwamba rail yetu haiwezi kuhimili mzigo mkubwa, nafikiri hapo jibu kapata.Wakenya hawaamini kama hizi ni freight locomotives, kwao hizi ni kwa ajili ya abiria 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Walianza kushusha population yao, wakundustan wapo wengi kama kumbi kumbi ukiangalia consumption yao ya sukari na cha vyakula vingine ndio utajua wapo wengi mno, walifake population ili GDP ije kubwa.
Kundustan hadi pasi za TZ uwa wanataka wawe nazoKwenye pages za madalali wa Tanzania wakundustan wanaongoza kwa kutaka kununua nyumba na viwanja Tanzania wakitoka wakongo, Tanzania ndio nchi ya ndoto zao
Sisi ni akili kubwa 🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥Hii ni Leo asubuhi, Joka limeshaanza trials 👇View attachment 3010842🤣🤣 jirani atanyooka.
Connecting BRT 1 and 3. Azikiwe Street leo imeanza kutinduliwa rasmi.
BRT ni system sio kupaka rangi😅
View attachment 3010905