ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Usisahau hii 😁😁😁👇👇Kwahio hii pia hutaki🤣🤣🙌👇View attachment 3010511
Inajulikana mkitaka jengo lenye architecture Kali either mje Kenya ama mtafute wazungu.Angalia kitu cha CBE Dodoma hicho kimejengwa 1965 na architect mjerumani, ukikiona tu unaona mbunifu kweli alituliza kichwa akaja na thoughtful piece of work, angalia hata logo yake, then uje kwa matakataka TBA wanayobuni na TAMISEMI 🚮🚮
View attachment 3010502View attachment 3010503View attachment 3010504View attachment 3010505View attachment 3010506View attachment 3010508
sasa kama midomo imejaa miraa saa zote mnatarajia wanywee wapi? ati mwathadan na wewe hujimiminia huko nyuma?Watu wanalewea matakoni alafu sisi tunakaa tunajifariji hapa? Hii me nakataa, ili kombe tuwaachie Kenya, hii ni ya kwao hakuna ubishi 🙌🏾View attachment 3010559View attachment 3010560
Hao jamaa ni washamba wa kutupwa mzee. Height ya tunnel ni 7.8m Container height yake ni 2.59m. Two container almost 6m. Zinabaki kama 2M.Acha ujinga wewe hiyo tunnel inapitisha double stacking acha ushamba wewe
Tanzania will never reach this level.
Utoto. Tulishatoka huko enzi za mabasi ya Scandinavia. Enzi za mkapa 2002
Kwani ukipandwa na jazba ndio unakua hvo😂😂Hii itasaidia vipi kuondoa mauswazi yaliotapakaa dar slum
So hio ndio nini??😂😂😂😂😂
Itoshe kusema wewe ni mshamba, haya ni mambo ya kawaida sana mzee.Update as of this morning,the pillars are gradually going up
![]()
![]()