The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,968
To own car ni mambo ya kawaida sana hapa TZ."Unaendesha" gari lako wakati it's clearly visible you are on the passenger's seat! 🤣🤣🤣🤣🤣
People are becoming so desperate in here. Phew!!
Unfortunately you don’t own one.To own car ni mambo ya kawaida sana hapa TZ.
🤣 🤣 🤣 🤣 Who cares mzee. Unamjua Shakira Mohamed?Unfortunately you don’t own one.
You care and that’s why you desperately and continuously living a lie.🤣 🤣 🤣 🤣 Who cares mzee. Unamjua Shakira Mohamed?
Kwahiyo umeumia? 🤣 🤣 🤣 🤣 Maisha yenu duni sana mdogo wangu.Tafuta pesaYou care and that’s why you desperately and continuously living a lie.
Walau wangipiga kama lile jingo la Arusha museum.Upumbavu mtupu, jengo la kituo cha utalii lakini hakina identity yoyote ya masuala ya kitalii, hii mimi huniumiza sana sema basi tu, unakuta airport terminals zimejengwa kipuuzi majengo ya wizara na taasisi yana awful dead taste hayana reflection yoyote wala inspiration kutoka Africa wala ya Tanzania wala uniqueness yoyote meanwhile zipo tones of designs zinazoweza kutumika na kufanya jengo la budget ya kawaida kabisa kuwa kama landmark, ukifika Namibia na Botswana utanielea
View attachment 3010415View attachment 3010416View attachment 3010417View attachment 3010418View attachment 3010419View attachment 3010420View attachment 3010421
Hiki kifurushi nani kaagiza waungwana
View: https://twitter.com/Kangaboy_/status/1798046840258236825?t=JP4L9QKh4-R10Uaowt91lQ&s=19
Source yake ni Maria sarungi 😂😂😂😂Suala la sisi kupata 2.5 billion linakuuma eeh.? Pole sana.