Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata mimi nimeshangaa anamaanisha nini? Si ajabu alipost baada ya kunywa pombe na makalio 🤣🤣🤣
Midomo Yao na Ulimi zimechanika kwa ajili ya Jaba SASA wanaona Bora wapitishe pombe matakoni maana wakisema wapitishe mdomoni wakat kumechanika, basi pombe hugeuka kua spirit anaeza washwa mpaka haja zote mbili zikatoka kwa wakat mmoja😂😂
 
Aki na mimi nitaenda kuwa politician Kenya ghai!
Na ndio dream ya kila mkenya 😂😂😂
Huwez kua na pesa Kenya kama haupo kwenye politics au uwe umezaliwa kwenye familia ya siasa, au ukoo wa siasa nje ya hapo utasugua gaga mpaka cheche
 
Ghaiii hiii nini SASA 🤣🤣🤣🤣

View: https://x.com/citizentvkenya/status/1798965876471062744?t=wuS0MaXlvKDSbtOvAuCa6Q&s=19
Screenshots_2024-06-07-09-51-49.png
 
Yani Kenya ana loan kubwa kuliko hata south Africa and Nigeria wenye uchumi mkubwa Sana Africa 😂😂😂😂😂😂😂😂
Deni wanalodaiwa aliakisi kabisa na walichonacho,TZ JNHP,BRT dar yote,SGR ni miradi mikubwa mno na bado atujakopa kama walivyokopa wao,watakuja kusifia vile vighorofa vyao but na vyenyewe ni vya sekta binafsi!
 
Back
Top Bottom