Malobabrian
JF-Expert Member
- Jun 12, 2020
- 254
- 298
Who owns yours?The whole world knows that Mama Ngina owns the brains of Kenyans
Who owns yours?The whole world knows that Mama Ngina owns the brains of Kenyans
😆😆Talanta imebuniwa na mkenya sawa, mchina akatoa fedha yote sasa mnajivunia nini, sisi tunajenga chetu kwa fedha yetuTalanta Stadium imebuniwa na Mkenya. Ngoja uone hiyo Samia Stadium yao kama itajengwa utapata Architect ni foreigner, Engineer ni foreigner alafu kila siku wanasema elimu yao iko juu.
The brains of Tanzanians Owned by God. But the brains of Kenyans Owned by Mama Ngina.Who owns yours?
There's nothing i can debate with u then, just needed that answerThe brains of Tanzanians Owned by God. But the brains of Kenyans Owned by Mama Ngina
Now, let's agree that Education in Kenya is poor.There's nothing i can debate with u then, just needed that answer
Unajua Benjamin mkapa stadium kuna hela ya mchina hapo😆😆Talanta imebuniwa na mkenya sawa, mchina akatoa fedha yote sasa mnajivunia nini
So Kisirani haikujengwa na Mchina?Unajua Benjamin mkapa stadium kuna hela ya mchina hapo
Mnajenga chenu wapi huko? Hebu tuonyeshe picha.😂😂😂😆😆Talanta imebuniwa na mkenya sawa, mchina akatoa fedha yote sasa mnajivunia nini, sisi tunajenga chetu kwa fedha yetu
Eti wakenya wanachukua mafundi kutoka Tanzania?😂😂😂😂Hakuna ushahidi wowote kwamba mkunya alibuni chochote huku Tanzania, lkn hata kama ingekuwa ni kweli shida iko wapi? Kubuni sio kujenga, haihitaji elimu yoyote kubuni jengo, sisi huku mafundi wengi wanabuni majengo makali na hawajaenda shule, kama kweli mkenya alibuni hilo jengo ni mambo ya 10% lkn wabunifu na mafundi ni wengi mno, no wonder wakenya wameona wachukue mafundi kutoka Tanzania kujenga nyumba zenu huko nowadays.
Mzee utapata aibu. Kwenye hili nakushauri kaa kimya..Eti wakenya wanachukua mafundi kutoka Tanzania?😂😂😂😂
Do you have any proof?
Sipendi amani. 😂😂😂Mzee utapata aibu. Kwenye hili nakushauri kaa kimya..
Fundi ni mfanyakazi wa hali ya chini sana. Kawaida wao wakija huku wanafanya kazi za hadgi ya chini. Sisi tunawapelekea architects na engineers wao kitu wanachoweza kujisifu nacho ni masons, housegirls, ombaomba na kuuza mitumba.Eti wakenya wanachukua mafundi kutoka Tanzania?😂😂😂😂
Do you have any proof?
Endeeleeni na definition. WatanZania wanachapa kazi 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇Fundi ni mfanyakazi wa hali ya chini sana. Kawaida wao wakija huku wanafanya kazi za hadgi ya chini. Sisi tunawapelekea architects na engineers wao kitu wanachoweza kujisifu nacho ni masons, housegirls, ombaomba na kuuza mitumba.
From "Do you have any proof" to "Fundi ni mfanyakazi wa hali ya chini sana." 😂😂😂Endeeleeni na definition. WatanZania wanachapa kazi 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇
Wakenya wanasubiri Muujiza wa Mwamposa
View attachment 3007431