Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

asante kwa hasira nugu....😀😀😀 ukweli ni kuwa hio density hapo Dar i kwasababu ya estates...yaani estats ziko tu karibu na city centre...Pwahahahaha😀😀😀😀 nalta buruburu hapo KICC na haina tofauti na hio Dar mnalia lia density density😀😀
Hamgusi dar maisha yenu yote mazee,mlituzidi tu kuabanana kibera 50% ya watu wote wa Nairobi, hadi un habitat wameweka hq apo kujifunza zaidi mliwezaje...
Nchi yenu inamilikiwa na Nani ?Ni ujinga wa mwisho mliofanyiwa na hao washenzi,Toka nipate izo habari I don't give a damn abt Nai no more...Ni watu mko hovyo Nyan'gau is just Nyang'au...
Mbadili mfumo wa umiliki wa ardhi mkishahama uko kibera mje tudiscuss
 
density density kumbe mji ni estates wameweka karibu na TPA na PSPF...kisha wanaimba imba et density...pwahahaha...teh estates of Nairobi are not even ten kilometers from city center...
 
Nishakukatazaga kutumia tumbo kufikiria.. Nairobi natembea masaa 2 naimaliza yote,, Dar nakupa wiki ukiimaliza Nahamia Libya
hahaha.....the Neanderthal can walk from CBD to machakos 80 kms away in two hours and that's all greater urbanized Nairobi metropolis.....hawa ldc dwellers hufikiria Kenya si ldc by mistake...it's just feigning stupidity and denial.
 
Hamgusi dar maisha yenu yote mazee,mlituzidi tu kuabanana kibera 50% ya watu wote wa Nairobi, hadi un habitat wameweka hq apo kujifunza zaidi mliwezaje...
Nchi yenu inamilikiwa na Nani ?Ni ujinga wa mwisho mliofanyiwa na hao washenzi,Toka nipate izo habari I don't give a damn abt Nai no more...Ni watu mko hovyo Nyan'gau is just Nyang'au...
Mbadili mfumo wa umiliki wa ardhi mkishahama uko kibera mje tudiscuss
leo umekasirika sana brother...lakini mambo ya kutuimbia density density kumbe ni nyumba za kukodishia watu uwache....😀😀😀😀mnaishi kama nguruwe pale city centre hakuna mpangilio...watu wa ofisi wamechanganywa ktk nafasi moja na mahustler kama ww hapo kisha unaimba imba ati density...😀😀😀
 
Uku tunapiga kelele na vijana wa kibera. ..manzese is better ,Tandale
 
hahaha.....the Neanderthal can walk from CBD to machakos 80 kms away in two hours and that's all greater urbanized Nairobi metropolis.....hawa ldc dwellers hufikiria Kenya si ldc by mistake...it's just feigning stupidity and denial.
Mbn hiyo link ya video hutaki kufungua
 
hio density density mnaimba imba hapa ni kama tu kuchukua Githurai na ku copy paste hapo karibu na KICC....utapata the same density...ama mnataka kusema Kariakoo pamejaa ofisi?😀😀😀😀
 
asante kwa hasira nugu....😀😀😀 ukweli ni kuwa hio density hapo Dar ni kwasababu ya estates...yaani estates ziko tu karibu na city centre...Pwahahahaha😀😀😀😀 nikileta buruburu hapo KICC haina tofauti na hio Dar mnalia lia density density😀😀

Unadhani dar kunaweza kuwa na ujinga kama huu katikati ya mji. Only in Nairobi.
DSC01487.JPG

1611368.jpg
 
Twenzetu darajani

da5a26aa2d5840d39287c32ac0741875.jpg
Daraja la mita mia tano? You must be a new member on these forums...Kenya has structures you'd dream of young man. Ask around and probably peruse this thread's previous posts.
 
I repeat Nairobi GDP is almost the same as tz GDP....LDC cannot tell us anything...we are way ahead...
 
I repeat Nairobi GDP is almost the same as tz GDP....LDC cannot tell us anything...we are way ahead...
Nioneshe nairobi GDP alaf nioneshe dar GDP nasubiria bro plz do the needful😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom