Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Daraja la mita mia tano? You must be a new member on these forums...Kenya has structures you'd dream of young man. Ask around and probably peruse this thread's previous posts.

Ziweke hapa tuone. Ukiweka naenda kulala.
 
leo umekasirika sana brother...lakini mambo ya kutuimbia density density kumbe ni nyumba za kukodishia watu uwache....😀😀😀😀mnaishi kama nguruwe pale city centre hakuna mpangilio...watu wa ofisi wamechanganywa ktk nafasi moja na mahustler kama ww hapo kisha unaimba imba ati density...😀😀😀
Mje dar sio mbali, mtapapenda mno sure nakwambia, watu wengi huishi mbali na mijini kabisa,Maeneo mengi ambayo huishi watu uko town ni hawa rangi nyeupe Indians na waarabu kwenye national housing,ni waswahili wachache sana huishi uko mijini kwenye yake maghorofa,
Sie tunatulia zetu Kando na mji kwenye hewa murua. ..Ndio Maana Morogoro road kwa siku hupita magari 85k uone ni kiasi gani watu huingia na kutoka jijini. ..
Bagamoyo road magari zaidi ya 65k kwa siku apo sijazungumzia kilwa road na nyerere road..wakazi wengi wa mji huu hukaa mbali
 
Msisahau kupita na hapa nyie watoto Wa Uhuru kashata
h,ttps://youtu.be/4VMvugAHWJQ
 
Dar city center
90% nyumba za kukodisha za 1 bedroom, mama mboga na duka za kuuza samaki
10% office buildings & hotels


Nairobi city center
90% offices and hotels
10% expensive apartments

kisha wanaimba imba hapa ati density😀😀😀😀😀 tofayuti ya Kariakoo na soko la githurai hakuna...
 
density density kumbe mji ni estates wameweka karibu na TPA na PSPF...kisha wanaimba imba et density...pwahahaha...teh estates of Nairobi are not even ten kilometers from city center...
Eastlands kuna kariakoo ishirini hivi plus....hatujaguza Thika road estates
 
Daraja la mita mia tano? You must be a new member on these forums...Kenya has structures you'd dream of young man. Ask around and probably peruse this thread's previous posts.
The perfect example of zero brain human being

Maybe its the other way around.. You have a dream of BRT, Best Bridge is east and central Africa and last but not least Electric train
 
Eastlands kuna kariakoo ishirini hivi plus....hatujaguza Thika road estates
Tuoneshe plz 😀😀😀 lini mutafkia hii level
IMG_1301.JPG
 
asante kwa hasira nugu....😀😀😀 ukweli ni kuwa hio density hapo Dar ni kwasababu ya estates...yaani estates ziko tu karibu na city centre...Pwahahahaha😀😀😀😀 nikileta buruburu hapo KICC haina tofauti na hio Dar mnalia lia density density😀😀
hahaha kariakoo can qualify to be an estate in eastlands......na maybe upanga
 
Dar ukishatoka kazini pale tpa unatembea tu mpaka kwako hapo Kariakoo...😀😀😀alafu wanaita density...kumbe wamechukua estate kama buruburu, githurai wakaweka karibu na city centre...kisha walia lia eti density...
no wonder the whole city ni hiyo radius ndogo....the rest 90% ni uswazi unyamwezini
 
Back
Top Bottom