Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hizi barabara zimeparara ndio unalinganisha na upperhill😀😀😀 wacha mzaha kaka
img_1361-jpg.644923
Pole sana kwa maumivu 😀😀😀
IMG_1362.jpg
 
I repeat, dar can only be compared to Mombasa
Kenya’s economy is sinking | Nairobi Business Monthly
Don't panic our young brothers, we will rescue you[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Pwahahahahha ati Julius Nyerere airstrip...umenimaliza bana haha

A section of Upperhill
122c41d9278352190a44e952b3ba050b.jpg

A section of cbd
efc419bee04df17258329979f3131742.jpg

Mtapita hapa nikama hamjaona...my friends Mombasa ndio league yenu
 
Nairobi 2017
Yh7nw.jpg

just imagine 2020 with Pinnacle Avic and Montave and god willing light rail...nawahurumia aki😀😀
 
I repeat Dar has only two buildings za maana...and it was built in 2015...Nairobi already had skyscrapers in 1970...
[emoji23][emoji23]Dar ni kubwa Mara mbili ya Nairobi..kuna maeneo mengi sanaaa mazuri hatuwez kutembelea kote and bad thing ni kwamba watu huku sio washamba Wa kupigapiga picha ovyo.. Mfano hapa hakuna picha za kinyelezi karibia na mtambo Wa kuzalisha umeme kuna jiji moja hatari sana pale, kigamboni ndo usiseme izo projects za nyumba sio poa, mbezi beach, oysterbay, masaki, mikocheni, kawee na kwingn kwingii.. Hapa wanaonyesha tu baadhi ya vipande pande vya posta, k/koo, na sehemu nyingn baadhi.. Siku ukija ukatembea mwenyewe ndo utashangaa
 
Kila mtu kuja hapa ...this is the city of dar es salaam...
45662ed4afae4be5c84d0c714400758d.jpg

Now this is a section of upper hill district
f62509e29d851f962299f77d1c4e30c6.jpg

Yani watz mlkosea nini mungu ukitoa tower mbili inakaa Kabul
 
[emoji23][emoji23]Dar ni kubwa Mara mbili ya Nairobi..kuna maeneo mengi sanaaa mazuri hatuwez kutembelea kote and bad thing ni kwamba watu huku sio washamba Wa kupigapiga picha ovyo.. Mfano hapa hakuna picha za kinyelezi karibia na mtambo Wa kuzalisha umeme kuna jiji moja hatari sana pale, kigamboni ndo usiseme izo projects za nyumba sio poa, mbezi beach, oysterbay, masaki, mikocheni, kawee na kwingn kwingii.. Hapa wanaonyesha tu baadhi ya vipande pande vya posta, k/koo, na sehemu nyingn baadhi.. Siku ukija ukatembea mwenyewe ndo utashangaa
I repeat, dar fananisha na Mombasa...Nairobi haiko level yenu😀😀
 
Back
Top Bottom