tofauti ya Dar ni kuwa mnaishi pal kwa city centre nguruwe, pamoja na watu, mama mboga, wauza samaki na kadhalika...Nairobi city centre haina mijengo za watu kuishi...kwa hivyo nikileta buruburu hapo karibu na KICC inakuwa kubwa kuliko Dar...Hamji kua na density ya dar miaka 100 mbele,kukaa kupiga kelele za upperhill na westland vimiji vilivyojaa vichaka tu...
deepdown our density is untouchables
Hahaha Nairobi kuna upper hill,cbd,westlands,kilimani,parklands, Mombasa road,etc utahara mseeHiyo picha ina resolution ndogo sana. Lakini ingekuwa na quality hapo ni afathali kuliko Nairobi.
Kenya’s economy is sinking | Nairobi Business Monthlytofauti ya Dar ni kuwa mnaishi pal kwa city centre nguruwe, pamoja na watu, mama mboga, wauza samaki na kadhalika...Nairobi city centre haina mijengo za watu kuishi...kwa hivyo nikileta buruburu hapo karibu na KICC inakuwa kubwa kuliko Dar...

Buruburu ndio ujinga gani...tofauti ya Dar ni kuwa mnaishi pal kwa city centre nguruwe, pamoja na watu, mama mboga, wauza samaki na kadhalika...Nairobi city centre haina mijengo za watu kuishi...kwa hivyo nikileta buruburu hapo karibu na KICC inakuwa kubwa kuliko Dar...
😀😀😀😀 Pole kwa povu aiseeUnaeza google acha kutubeba wanaaa....ukitaka kuonyeshwa show bibi akushow haga ama ikus
Povu haikuachi salama always😀😀😀😀Dar ukishatoka kazini pale tpa unatembea tu mpaka kwako hapo Kariakoo...😀😀😀alafu wanaita density...kumbe wamechukua estate kama buruburu, githurai wakaweka karibu na city centre...kisha walia lia eti density...
Kenya’s economy is sinking | Nairobi Business MonthlyDar ukishatoka kazini pale tpa unatembea tu mpaka kwako hapo Kariakoo...😀😀😀alafu wanaita density...kumbe wamechukua estate kama buruburu, githurai wakaweka karibu na city centre...kisha walia lia eti density...

asante kwa hasira nugu....😀😀😀 ukweli ni kuwa hio density hapo Dar ni kwasababu ya estates...yaani estates ziko tu karibu na city centre...Pwahahahaha😀😀😀😀 nikileta buruburu hapo KICC haina tofauti na hio Dar mnalia lia density density😀😀Buruburu ndio ujinga gani...
Dar Ni kubwa Miaka yote na Mtaelewa taratibu. ..dose inaingia mdogomdogo
lol.....Nairobi is a metropolis covering 10000km sq.....dar mpelekane na Mombasa plizDar ni kubwa Mara mbili ya Nairobi..kuna maeneo mengi sanaaa mazuri hatuwez kutembelea kote and bad thing ni kwamba watu huku sio washamba Wa kupigapiga picha ovyo.. Mfano hapa hakuna picha za kinyelezi karibia na mtambo Wa kuzalisha umeme kuna jiji moja hatari sana pale, kigamboni ndo usiseme izo projects za nyumba sio poa, mbezi beach, oysterbay, masaki, mikocheni, kawee na kwingn kwingii.. Hapa wanaonyesha tu baadhi ya vipande pande vya posta, k/koo, na sehemu nyingn baadhi.. Siku ukija ukatembea mwenyewe ndo utashangaa
Hongkong density opps sorry bro dar es salaamasante kwa hasira nugu....😀😀😀 ukweli ni kuwa hio density hapo Dar ni kwasababu ya estates...yaani estates ziko tu karibu na city centre...Pwahahahaha😀😀😀😀 nikileta buruburu hapo KICC haina tofauti na hio Dar mnalia lia density density😀😀
lol ......psychic meandering ndio superhighways.....oh my GOd.....Twenzetu darajani
![]()
Hahahhahaha aty cbd uko unatembea kwa street ka underwear kanakuangukiawatu wa ofisi wanafanya kazi pamoja na wauza samaki pale city centre...Dar ni mji uliochanganyikiwa sana
Watakwambia Render hiyo.. Kwa ubishi majirani huwapati. Good jobDar es salaam
![]()