Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huhu dar ya 2017 imewakamata kwenye makende😀😀
Hapa kuna nini???? Seriously????????
d89a03f0631cd990661e432fc8386044.jpg
 
Yani kuwaambia ukweli kabisa wakenya kinacho wasaidia mnapicha nyingi lakini nairobi hamna kitu cha ajabu. Laiti tungekuwa tunapiga picha nyingi kama nyie mngeshakimbia hapa. Sema tuna vitu vingi vya msingi vya kufanya.
 
Sasa dar kuna nini??????????...mnajiabisha tu..hii ni dar yote nini iko hap¿???????
99fba8e49b3485f518f6189e82220345.jpg
 
Sasa dar kuna nini??????????...mnajiabisha tu..hii ni dar yote nini iko hap¿???????
99fba8e49b3485f518f6189e82220345.jpg
Hamji kua na density ya dar miaka 100 mbele,kukaa kupiga kelele za upperhill na westland vimiji vilivyojaa vichaka tu...
deepdown our density is untouchables
 
Nishakukatazaga kutumia tumbo kufikiria.. Nairobi natembea masaa 2 naimaliza yote,, Dar nakupa wiki ukiimaliza Nahamia Libya
narudia tena...dar fananisha na Mombasa...Nairobi haiko level yenu..😀😀😀
 
Back
Top Bottom