Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

AFDB NAIROBI
 

Attachments

  • 1716983636552.jpg
    1716983636552.jpg
    329.6 KB · Views: 16
  • 1716983633759.jpg
    1716983633759.jpg
    263.9 KB · Views: 21
  • 1716983630849.jpg
    1716983630849.jpg
    308.8 KB · Views: 19
  • 1716983628358.jpg
    1716983628358.jpg
    267.3 KB · Views: 21
  • 1716983636552.jpg
    1716983636552.jpg
    329.6 KB · Views: 21
Unajua kuliko Toyota Kenya sio. 🤣🤣🤣🤣


View: https://x.com/ToyotaCFAOKE/status/1185146999475183616

Kuna taa ya check engine inawaka kwenye kichwa chako 😂😂😂😂😂

CFAO hata huku wapo, na hao hawana tofaut na AVA wote KAZI Yao moja

Ila hakuna assembly plant ya Toyota utapata east Africa hakuna na haitakuwepo ikiwa most of Ur cars ni probox na zote muna import from Japan 😂😂😂😂😂😂
 
TANROADS KUANZA UJENZI DARAJA LA JANGWANI
1716993971419.png

Daraja hilo litakalojengwa lina urefu wa mita 390 pamoja na Barabara unganishi zenye urefu wa mita 710 na kina cha mita 15.5 kutoka usawa wa bahari.

Daraja hili litakapokamilika litatatua changamoto ya kujaa kwa maji katika barabara ya Dar es Salaam-Morogoro eneo la Jangwani wakati wa mvua na kusababisha kufungwa kwa barabara hiyo mara kwa mara.”, ameongeza Bashungwa.
 
Miradi ya BRT inayoendelea kujengwa kwenye Bajeti ya 2024/2025
1. BRT 3 ambao unahusisha barabara ya Nyerere kuanzia makutano ya barabara ya Kivukoni na Mtaa wa Azikiwe hadi Gongolamboto (km 23.33).​
2. BRT 4 (km 30.12) utakaohusisha barabara ya Ali Hassan Mwinyi-Morocco-Mwenge -Tegeta; na kipande cha Mwenge-Ubungo.​
3. BRT 5 (km 27.6) ambao unahusisha barabara ya Mandela kuanzia makutano ya Ubungo-Bandari, makutano ya Mandela/Tabata-Tabata Segerea na Tabata-Kigogo.​


Bado tunajadilia na Nyang'au tu?
 
Back
Top Bottom