buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,126
- 13,106
Nice photo. Hongera
Nice photo. Hongera
90% sure hiyo nyama vitunguu, ugali ni all the way from Tanzania, actually hata hiyo mbao ya meza, this shows how we run KunyalandMarcelly hii misosi unapata chini ya 500 mpaka 200.ππView attachment 3002781View attachment 3002782View attachment 3002783
Huyo anajiaibisha sana kutuletea misosi hapa na 1500 anasema haiwezekani. Hajui bongo huyo.90% sure hiyo nyama vitunguu, ugali ni all the way from Tanzania, actually hata hiyo mbao ya meza, this shows how we run Kunyaland
Mpumbavu huyo Mkunya kama wanaweza kuandamana mpaka kuuana sababu ya unga ana legitimacy gani kudebate na mtanzania kuhusu anything foods related topic? Mbaya zaidi hicho wamachoandamania kimetoka Tanzania, nyama wanayoweka hapa imetoka TanzaniaHuyo anajiaibisha sana kutuletea misosi hapa na 1500 anasema haiwezekani. Hajui bongo huyo.
Naona unaendelea kujiabisha. CFAO is a small company under Toyota Tsusho Corporation. π€£ π€£ π€£ π€£ Huyu ni president wa Toyota Tsusho Corporation akiwa Kenya wa ufunguzi wa Toyota Hilux assembly line at AVA Mombasa. Yeye ndio president wa global operations zote za Toyota duniani. π Hawezi tembelea nchi yenu kama hakuna biashara kubwa ya Toyota huko, ndio kwa maana hujawai kumuona bongoslum na hamutawai kumuona. π€£π€£π€£Kuna taa ya check engine inawaka kwenye kichwa chako πππππ
CFAO hata huku wapo, na hao hawana tofaut na AVA wote KAZI Yao moja
Ila hakuna assembly plant ya Toyota utapata east Africa hakuna na haitakuwepo ikiwa most of Ur cars ni probox na zote muna import from Japan ππππππ
ππΎππΎππΎNice photo. Hongera
To be honestly hizi chia maharage zilikua dar miaka 90 mwanzo huko , halafu zikaanza DCM hadi sasa hivi ni historia, huwezi kuta chai maharage a.k.a matatu sehemu yeyote Tanzania"We manufactured (and have the most number of) the best and the most beautiful buses in the whole Africa" by Kunyalands
View attachment 3002619
Hakuna kampuni iko chini ya Toyota inaitwa CFAO unless uwe umechanganyikiwa hata AVA Sio kampuni ya Toyota na zote sio factory ni just assembly plant za watu binafsi Kwanza Hilo weka akilini πππππππNaona unaendelea kujiabisha. CFAO is a small company under Toyota Tsusho Corporation. π€£ π€£ π€£ π€£ Huyu ni president wa Toyota Tsusho Corporation akiwa Kenya wa ufunguzi wa Toyota Hilux assembly line at AVA Mombasa. Yeye ndio president wa global operations zote za Toyota duniani. π Hawezi tembelea nchi yenu kama hakuna biashara kubwa ya Toyota huko, ndio kwa maana hujawai kumuona bongoslum na hamutawai kumuona. π€£π€£π€£
![]()
![]()
![]()
![]()
Ghana wakifungua assembly line ya Toyota na Suzuki lazima angetia sahihii.
![]()
![]()
Teargas chassis toka Ukunyani sio?Mwengine kashatungua gari tatu irizar from South Africa πΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏ
View attachment 3002972
Kitu ilianza kujengwa 2013 ndio unaita collection mpya?πππUmeona hii collection mpya ya The nest.? πView attachment 3002700
Enyewe pumbavu hafundishiki. π€£ π€£ π€£ Hakuna car enthusiast mwenye hajui Toyota acquired CFAO. Unareason kama pimbi ndio kwa maana unadhani magari zote za Toyota zinatengenezwa eneo moja kama peremende. π€£π€£π€£ Leo nayo, umejiaibisha. π€£π€£π€£ Eti kwanini tunaimport gari na tukona assembly. π€£π€£π€£π€£Hakuna kampuni iko chini ya Toyota inaitwa CFAO unless uwe umechanganyikiwa hata AVA Sio kampuni ya Toyota na zote sio factory ni just assembly plant za watu binafsi Kwanza Hilo weka akilini πππππππ
CFAO pia ni multi brand car dealership usichanganye sukari na chumvi, chumvi ni nyeupe haimaanishi ni sukari nyeupe kondoo wewe, huwez kunifundisha chochote kwenye magari, etc
Hakuna assembly plant ya Toyota Kenya wala Tanzania na mungekua nayo kweli Khushi motors wasingekua Wana import gari kutoka Japan, kakojoe ulale
Omena na Ugali sosa ndio unaturingia hapaπππKuhusu dikodiko la kibongo ungenyamaza tu wewe pimbi
Na hizo pilipili
Hapa 1000 Tshsπππππππππ
View attachment 3002736
Na hapa 1500 Tshs na hapo ni kwa mama muuza πππππππView attachment 3002741