Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,820
- 9,588
Ukienda Mbeya huoni mji uko wapi😃
Unaogopa kula leta tweet ulipotoa hii picha kwa vile ziko banned....
View: https://x.com/city_digest/status/1795678307205439574
Inaonekana wewe ndio unajua kuliko Toyota Kenya.🤣🤣🤣🤣 Kumbe na hio miaka yako yote hujui magari hutengenezwa na assemblers ambao wamesource parts from different vehicle parts manufacturers. 🤣🤣🤣🤣 We pumabavu hudhani Toyota wana factory ya kutengeneza kila kitu mahali pamoja kama peremende. 🤣🤣🤣🤣🤣 Waaaaaa enyewe ushamba ni mbaya. 🤣🤣🤣🤣 Eti magari zinatoka kwa factory ya Toyota in Japan.Usinambie Toyota wenyewe wachukue gari kutoka AVA wakat wao wenyewe ndio manufacturer Yani usiwe mjinga mpaka ukawa kondoo Kias hicho😂😂😂😂😂
Toyota wamekabidhi gari kwa polisi wenu kutoka kampuni Yao ya Toyota Japan na sio AVA, AVA Sio kampuni ya Toyota weka akilini hio 😆😆😆😆😆😆😆
Unajua kuliko Toyota Kenya sio. 🤣🤣🤣🤣Usinambie Toyota wenyewe wachukue gari kutoka AVA wakat wao wenyewe ndio manufacturer Yani usiwe mjinga mpaka ukawa kondoo Kias hicho😂😂😂😂😂
Toyota wamekabidhi gari kwa polisi wenu kutoka kampuni Yao ya Toyota Japan na sio AVA, AVA Sio kampuni ya Toyota weka akilini hio 😆😆😆😆😆😆😆
Umeona hii collection mpya ya The nest.? 👇Another angle of GTC..
View attachment 3002696
Ghorofa la tangu 2014 linaisha leo, hamna lolote nyinyi kwa NBO..Umeona hii collection mpya ya The nest.? 👇View attachment 3002700