Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mozart bet Cup ni na kama Cabarao Cup in Kenya. Haiusiani na KFK. Imagine hata wale wale watoto wa Chapa Dimba walikuwa wanapewa pesa mingi kuliko hawa Wazee wenu wakubwa 😂😂👇👇🤣

Mozart bet Cup award is Ksh 100,00

View: https://x.com/TeyaKevin/status/1795029815013122160

CRDB Cup award is Ksh 25,000

View: https://x.com/azamtvtz/status/1792215323686412356

Chapa Dimba award is Ksh50,000

View: https://x.com/beebree0/status/1779754151448088672

Tuoneshe bingwa wa ligi Kenya anapata sh ngp 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Naombeni muskilize hii video anaongea kijana mmoja kutoka Mombasa na ni msanii WA nyimbo zao 😆😆😆😆👇👇👇😂

Mutagundua mengi ambayo hamuyajui na hawawez kukwambia so far 👇👇👇👇👇👇

 
Mzizima tower, jengo tamu sn hili 😘😘😍😍🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥
DSC_0276.JPG
DSC_0281.JPG

Alafu chini yake itapita BRT, kama mbele mwanangu ❤️ ❤️ 😘 😘 🇹🇿 🔥 🔥 🔥
DSC_0280.JPG
DSC_0279.JPG
 
yani bingwa Kenya anapata TZS 64m na hapo imepanda kutoka TZS 20m, bingwa Tanzania anapata zaidi ya 700m na bado wanashangaa kwann NBC premier league ni ligi namba 6 kwa ubora Africa, na niwaambie tu bingwa wa Tanzania anazidiwa na nchi chache sana kwa prize money Africa hii.
Hio ilikua zamani SASA hvi bingwa hapati chochote kwao zaidi ya kombe 😂😂😂😂
 
Mwehu wewe na siku ukipata ushahidi unitag mm nifunge ACC😂😂😂😂😂😂

Wewe zunguka Tu ila siku ukipata ushahidi nafunga ACC forever mamaeee eti factory unajua maana ya factory wewe au kua assemble ni factory 😂😂😂😂😂😂😂😂
Asanti sana kwa kujiabisha. 🤣 🤣 🤣 Magari zote hutengenezwa na assemblers ambao wamesource parts from different manufacturing plants. Yani wewe hudhani gari hutengenzwa kama peremende. 🤣🤣🤣🤣
Hebu tuambie hio factory yako yakutengeneza 100% of parts and assembling iko wapi tukucheke. 🤣🤣🤣🤣
 
Yet all employees are Kenyans!!!
Kenya tech Iko next level.
Silicon valley of Africa is KENYA.
No future in Kenya, usijiongopee. Mm nina mshkaji wangu mkewe ni mkenya na mtoto alizaliwa Kenya, now anapambana kumtafutia mwanaye passport ya Tanzania, nikamuuliza si angeacha tu awe raia wa Kenya, mwamba akanichana kwamba hawezi kuruhusu mwanaye awe mkenya, no future in Kenya, but Tanzania iko na future, acha mwanangu awe mtanzania.
 
Asanti sana kwa kujiabisha. 🤣 🤣 🤣 Magari zote hutengenezwa na assemblers ambao wamesource parts from different manufacturing plants. Yani wewe hudhani gari hutengenzwa kama peremende. 🤣🤣🤣🤣
Hebu tuambie hio factory yako yakutengeneza 100% of parts and assembling iko wapi tukucheke. 🤣🤣🤣🤣
Usinambie Toyota wenyewe wachukue gari kutoka AVA wakat wao wenyewe ndio manufacturer Yani usiwe mjinga mpaka ukawa kondoo Kias hicho😂😂😂😂😂

Toyota wamekabidhi gari kwa polisi wenu kutoka kampuni Yao ya Toyota Japan na sio AVA, AVA Sio kampuni ya Toyota weka akilini hio 😆😆😆😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom