Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna kampuni iko chini ya Toyota inaitwa CFAO unless uwe umechanganyikiwa hata AVA Sio kampuni ya Toyota na zote sio factory ni just assembly plant za watu binafsi Kwanza Hilo weka akilini 😂😂😂😂😂😂😂

CFAO pia ni multi brand car dealership usichanganye sukari na chumvi, chumvi ni nyeupe haimaanishi ni sukari nyeupe kondoo wewe, huwez kunifundisha chochote kwenye magari, etc

Hakuna assembly plant ya Toyota Kenya wala Tanzania na mungekua nayo kweli Khushi motors wasingekua Wana import gari kutoka Japan, kakojoe ulale
Aisee umepiga kwenye busha 🤣🤣🤣
 
Enyewe pumbavu hafundishiki. 🤣 🤣 🤣 Hakuna car enthusiast mwenye hajui Toyota acquired CFAO. Unareason kama pimbi ndio kwa maana unadhani magari zote za Toyota zinatengenezwa eneo moja kama peremende. 🤣🤣🤣 Leo nayo, umejiaibisha. 🤣🤣🤣 Eti kwanini tunaimport gari na tukona assembly. 🤣🤣🤣🤣

Huyo hakuna kitu huwa anajua kwa magari. If you thought so then you are mistaken😂
 
Miradi ya BRT inayoendelea kujengwa kwenye Bajeti ya 2024/2025
1. BRT 3 ambao unahusisha barabara ya Nyerere kuanzia makutano ya barabara ya Kivukoni na Mtaa wa Azikiwe hadi Gongolamboto (km 23.33).​
2. BRT 4 (km 30.12) utakaohusisha barabara ya Ali Hassan Mwinyi-Morocco-Mwenge -Tegeta; na kipande cha Mwenge-Ubungo.​
3. BRT 5 (km 27.6) ambao unahusisha barabara ya Mandela kuanzia makutano ya Ubungo-Bandari, makutano ya Mandela/Tabata-Tabata Segerea na Tabata-Kigogo.​


Bado tunajadilia na Nyang'au tu?
AFCON 2027 ni moto.
 
TANROADS KUANZA UJENZI DARAJA LA JANGWANI
View attachment 3002950
Daraja hilo litakalojengwa lina urefu wa mita 390 pamoja na Barabara unganishi zenye urefu wa mita 710 na kina cha mita 15.5 kutoka usawa wa bahari.

Daraja hili litakapokamilika litatatua changamoto ya kujaa kwa maji katika barabara ya Dar es Salaam-Morogoro eneo la Jangwani wakati wa mvua na kusababisha kufungwa kwa barabara hiyo mara kwa mara.”, ameongeza Bashungwa.
Hili daraja lingeunganishwa na lile la surrender ingependeza sana
 

🤣 🤣 🤣 🤣

ScreenShot Tool -20240529205443.png
 
🤣 🤣 🤣 Pumbavu leo huna pakutorokea.

View attachment 3003127View attachment 3003129
Sio tena CFAO 😂😂😂😂😂

Narudia kukwambia AVA is not a Toyota assembly plant, wala haimilikiwi na Toyota wanachofanya wanaomba kibali from manufacturer ndio Wana assemble, lakini usinambie gari zote za Toyota zinatoka AVA no way, na gari nyingi za Kenya Aina ya Toyota zinakua imported from either Japan or Malaysia etc

Nenda kawaulize Khushi motors 100% of their cars wanatoa Japan na ukitaka ushahidi nitakuletea hapa, na Khushi motors ni moja ya kampuni kubwa Sana Kenya kwa uuzaji wa magari 😂😂😂😂😂😂😂
 
Sio tena CFAO 😂😂😂😂😂

Narudia kukwambia AVA is not a Toyota assembly plant, wala haimilikiwi na Toyota wanachofanya wanaomba kibali from manufacturer ndio Wana assemble, lakini usinambie gari zote za Toyota zinatoka AVA no way, na gari nyingi za Kenya Aina ya Toyota zinakua imported from either Japan or Malaysia etc

Nenda kawaulize Khushi motors 100% of their cars wanatoa Japan na ukitaka ushahidi nitakuletea hapa, na Khushi motors ni moja ya kampuni kubwa Sana Kenya kwa uuzaji wa magari 😂😂😂😂😂😂😂
🤣 🤣 🤣 🤣 Woiiiiii
1-5Toyota has 53 manufacturing companies in28 countries and regions outside Japan
 

Hii ni habari tu za tabloids uchwara.

Kenya hakuna CKD assembly plant hata moja. Zilizopo hapo ni dealership tu.
Hata Bongo kuna Toyota Tanzania.. Kuna parts wanaweza kukuwekea ukitaka kama bull bars etc.. Hawafanyi complete assembling.
Tanzania ina agiza magari direct from Toyota Japan... In return kuna JICA inatoa toa msaada kutupooza kidogo.
 
🤣 🤣 🤣 Pumbavu leo huna pakutorokea.

View attachment 3003127View attachment 3003129
Hichi ndio mm nazungumzia south Africa Toyota wenyewe wanamiliki assembly plant tofaut na Kenya wamempa kibali AVA, na AVA Ni private company sio Mali ya Toyota hii ndio kitu mm nazungumzia hapa😂😂👇


Na ndio maana nikakwambia hakuna assembly plant ya Toyota inayomilikiwa na Toyota Kenya wala Tanzania, ndio maana gari ya Toyota Kenya 98% zinakua imported from Japan 😂😂😂😂 bisha SASA

Screenshots_2024-05-29-21-01-32.png
 
Back
Top Bottom