Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

FIFA World Cup. Mlishafika huku nyie 🤣🤣🤣 France alikalia kuti kavu hapa

1716208178923.png

1716208249113.png
 
Nakubali kuwa mimi ni kichaaa, ila wakenya wote wanaosifia sgr ya wese ni matahira 😀 tena isitoshe mnataka kusifia mwendelezo wa ujenzi wa njia za mitungi ya chang'aa kwa gharama kubwa
Sasa I unaona ukichaa inavyodhihirika?

Yani wewe bongolala hujui kwamba Kenya inazalisha umeme nyingi kuwaliko? Na pia hujui kwamba matumizi yetu ya umeme inazidi yenu maradufu?

We didn't electrify our sgr not because we can't but we set our priorities right. We knew doing so would be disastrous to our industries coz we still ain't producing enough electricity. Tulijaribu kuzuia aibu kama Ile mlipata juzi ya treni kukwama kijinga sababu ya kukatika umeme.

Sisi sio kama nyinyi mnaofanya mambo kwa mihemko na hisia eti ndio muonekane mko vizuri kuliko wengine. Sasa hivi mnanunua midege just to prove a point ila zinaishia kupiga route za ndani kama bajaji.

Our sgr was built in a way that it can be electrified anytime in its current status. Siku tutaanza kuproduce surplus power it will happen.
 
Ile mombasa hua hamuoneshwi humu ndani😂
 
Broo, Kulingana nawe hivi viwanja viwili vimefanana? Wacha bhangi buanaa.
45519655_1458167160953432_9010252796099821568_n.jpg

1.jpg

Ukweli ni kwamba viwanja vyenu vyote ni vibovu ukitoa kile mlichopewa kama zawadi na Mchina. Hata hiyo Amaan imejengwa kwa mabati labda kuweka roof ndio kidogo walijaribu but viwanja vyenu ni vibovu. Ukitoa roof hicho kiwanja ni vichekesho.

View attachment 2994005
Kumbe hii ndio Amaan stadium tunayotajiwa hapa usiku na mchana? Kwa jinsi inavyosifiwa, utadhani ni level ya Emirates vile kumbe ni ushuzi mtupu!🤣🤣🤣🤣
5 (1).jpg.jpg

Yani hii hata Kirigiti stadium ya Kiambu inaizidi
images - 2024-05-06T144424.398.jpeg
 
Sasa I unaona ukichaa inavyodhihirika?

Yani wewe bongolala hujui kwamba Kenya inazalisha umeme nyingi kuwaliko? Na pia hujui kwamba matumizi yetu ya umeme inazidi yenu maradufu?

We didn't electrify our sgr not because we can't but we set our priorities right. We knew doing so would be disastrous to our industries coz we still ain't producing enough electricity. Tulijaribu kuzuia aibu kama Ile mlipata juzi ya treni kukwama kijinga sababu ya kukatika umeme.

Sisi sio kama nyinyi mnaofanya mambo kwa mihemko na hisia eti ndio muonekane mko vizuri kuliko wengine. Sasa hivi mnanunua midege just to prove a point ila zinaishia kupiga route za ndani kama bajaji.

Our sgr was built in a way that it can be electrified anytime in its current status. Siku tutaanza kuproduce surplus power it will happen.
Rubbish
 
Sasa wewe umetaka commentary zetu tumekupa bado unabisha uko sawa kichwani wewe. Kwenye hiyo picha does it look like it crashed kitaalamu tunaita hard landing.
Bongolala unapenda ubishi za kininga sana. Huoni kwamba hiyo picha ilipigwa before the crash happened? President Raisi is even seen walking in that picture. Sasa kama hapo ndio tukio la mkasa, iweje wako hai kwenye picha Tena wanatemebea na miguu zote miwili? Saa zingine mnaudhi sana mitanganyika
 
Back
Top Bottom