Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa wewe umetaka commentary zetu tumekupa bado unabisha uko sawa kichwani wewe. Kwenye hiyo picha does it look like it crashed kitaalamu tunaita hard landing.
Picture gani? There’s o picture of the helicopter after the accident.
 
Nyokooo eti we planned before walikuja wakaguzi kutoka CAF, mukapewa maagizo tena kufanyie KAZI ndio maana munafanya tena na watakuja tena kufanya inspection

SASA kuleni pesa kama mara ya Kwanza alaf uone kama itafanyika hapo🤣🤣🤣🤣
So 2023 CAF walikuja Kenya kukagua Nyayo? Mbona unaumia na maendeleo ya Nyayo?🤣🤣

This is 2023.
IMG_0236.png
 
Mulifanya many years ago na Hali hamuna hata CAF approved stadium 2024 mpaka munaomba Malawi kwenda kutumia uwanja wao 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Aibu gani hii inawatandika 2024 serious
December 2023 ni many years ago?🤣🤣🤣

IMG_0235.png
 
Back
Top Bottom