Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ebu tuonyeshe approval ya CAF tusome😂😂🤣🤣.

Azam is not CAF approved.
Aman is not CAF approved.
Kama haiko approved kwann wanaleta mashindano ya kimataifa Aman 🤣🤣👇👇

Screenshots_2024-05-20-14-21-17.png
 
Mzee nimekuuliza tangu juzi unioneshe CAF approved stadium in Kenya bado unatafuta. Do you admit that hakuna International Standard Stadium hapo Kenya? 🤣 🤣 🤣
Hawana hata yakusingiziwa Achilia mbali kua nayo kabisa 😂😂😂😂 eti wanaenda Malawi, kwala dunia haina haki
 
Mimi sitaki niwakimbize hapa. Ila ninawakumbusha tu 🤣🤣🤣👇👇👇👇

View attachment 2995010
Sisi tunakupea stadium zenu za ligi kuu ambazo mmezisifia humu kuwa stadium kubwa wewe unatuletea uwanja wa mtaa wa vijana wa mtaa kuchezea boli. Next utatupostia uwanja wa shule hapa Kenya badala ya kujibu swali. Nimekuuliza swali rahisi, tuonyeshe hiyo gate mwaka wa 2024.
 
Musiwaoneshe wakenya hii stadium watakasirika plz 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Gombani stadium Pemba 🇹🇿🇹🇿

Yani sisi tuweke viti, tuweke taa, tutengeneze changing rooms na choo alafu wao wanyunyizie pitch maji na bado wanacheka wetu. Hehehe, hawa ndugu zetu jamani..😂.😂
Issue ni kuwa approved na CAF na FIFA kwanini viwanja vyenu haviko approved unapaswa ujiulize hilo swali something is missing somewhere usibishe tuu kwa vigezo vyako mwenyewe
 
Sisi tunakupea stadium zenu za ligi kuu ambazo mmezisifia humu kuwa stadium kubwa wewe unatuletea uwanja wa mtaa wa vijana wa mtaa kuchezea boli. Next utatupostia uwanja wa shule hapa Kenya badala ya kujibu swali. Nimekuuliza swali rahisi, tuonyeshe hiyo gate mwaka wa 2024.
Ligi yetu ambayo ina 3 stadiums CAF standard so far 🤣🤣🤣 how do u feel, bikini haijavuka iko sawasawa
 
Issue ni kuwa approved na CAF na FIFA kwanini viwanja vyenu haviko approved unapaswa ujiulize hilo swali something is missing somewhere usibishe tuu kwa vigezo vyako mwenyewe
Walisema eti CAF watachukua rushwa 🤣🤣🤣
 
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.

Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation

Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
Mbona hukuandika kuhusu kupatikana maji na umeme
 
Back
Top Bottom