Iko nyingine kama hiyo inaingia mwezi huu toka boeing.Mambo yanayo nifurahisha sana🤣View attachment 2991938
Iko nyingine kama hiyo inaingia mwezi huu toka boeing.Mambo yanayo nifurahisha sana🤣View attachment 2991938
Ushaniiga kauli zangu kumbe hua unanifatilia Sana 😅😅😅😅 asante,Ndege mpya kabisa haina hata dhambi ishabomolewa engine😅😅😅😅View attachment 2991791
🤣🤣🤣🤣 Nafurahi kuona munavoumia
View: https://twitter.com/emadZanjibar/status/1791181134040006868?t=FhycGjm0APLDlz_qa9dAVA&s=19
Hii siasa inaongelea toka Uhuru Kenyatta naivasha SGR iko idle for over 3good yearsMore bad news for the central corridor SGR… good luck when it reaches Burundi… count Rwanda out…🤣🤣🤣
View attachment 2991875
Hii ndoto IPO toka Kenyatta 😅😅😅😅😅Waganda wanakwambia "Tugende Kenya"View attachment 2991893
Wanaficha nini, tufiche ili iweje na ushaambiwa July rasmi SGR inaanza, wewe unataka uambiwe kwa lugha gani uelewe hata kama unaumia umia lakini ukweli utabaki pale pale 👇👇👇👇👇Kitu kimezima zima na hawajatoa explanation yeyote, kuna kitu wanaficha na tutajua 😅😅😅
Sie tulishachukua eacop hayo mengine mtajuana wenyewe 😀😀Hivi, wako na habari Museveni yupo Nairobi sasa hivi? Yani tumewatoa chakula mdomoni hivyo tu😂😂😂

Hii ndege ina dhambi mingi sana. Kuliko zote ni Ile kukubali kuitwa "brand new" wakati linajua vizuri sana ni chakavu na haistahili hilo jina brand newNdege mpya kabisa haina hata dhambi ishabomolewa engine😅😅😅😅View attachment 2991791
Iweje ndege mpya ifanyiwe mid-life refitting, hapa hesabu haziingiliani, KQ ndege zinatumika kwa miaka mingi sana na mwishoe zina retire bila kupark kwa miezi minane.Hii ndege ina dhambi mingi sana. Kuliko zote ni Ile kukubali kuitwa "brand new" wakati linajua vizuri sana ni chakavu na haistahili hilo jina brand new
Safi Sana leteni iende ikapark Kuala Lumpur MalaysiaIko nyingine kama hiyo inaingia mwezi huu toka boeing.
Waaah sasa hiii ni Nini!!!Nimedharau watanzania wote from today, I didn’t know Secondary School exams have choices😂😂😂
Questions ni rahisi lakini bado unapewa choices😂😂😂
View attachment 2991065
Kwamba hamfahamu kuwa engine za Rolls Royce Trent 1000 zinazo tumika kwenye ndege za Boeing 787 zina hitilafu ama ni muendelezo wa akili finyu!Hii ndege ina dhambi mingi sana. Kuliko zote ni Ile kukubali kuitwa "brand new" wakati linajua vizuri sana ni chakavu na haistahili hilo jina brand new
ni sawa na kamtaaKumbe hio Tatu City ukubwa wake ni kama shamba la mahindi ila wakenya wanailinganisha na Dodoma😀
View attachment 2991999