Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Hii imenisikitisha sana Africa bado sana kwa west ukijifanya kidume kuna sehemu nyingi za kushikwa kende.

Hakuna Option kabisa?

Maana zamani walikua hawapo makatili kwenye chakula ila baada ya Ukraine and Russia wala soko la ngano na vibano kwa meli ya chakula ilileta picha mbaya.

Bongo japo tunazalisha still tunahitaji balance maana mkulima hatulimii bure anataka kuexport soko la ndani bei ipo chini kwa mkulima hivyo upenyo wa uhaba wa nafaka ukitokea stock ya wakulima inafanyiwa export nchi inaingia kwa uhaba wa nafaka bei inapaa maisha yanakua magumu.

So siku wakigeukia internet kama kifinyo si itakua balaa.
 
Cheki elimu ya kibongo ilivyo tough kubabake. Hizi ni papers nilizofanya mimi kwenye history kama kipimo cha kunivusha University

history 2 View attachment 2991143history 1πŸ‘‡
View attachment 2991142 nyie wapumbavu Teargas tunajua ili mbushane na sisi, huwa mna Google tu, 🀣🀣 now i want you to know that hizi vitu sisi huku bongo tunavisoma tangu Darasani. Na wewe pia uje hapq mwaiofhawaii.
Elimu ya Kunyaland ikienda mbali sana inafika kwa wakalenjin 😁😁 sasa uwaambie mambo ya black American sijui Italy, German, Japan, Columbus, Napoleon huko mpaka professors wao watakushangaa 😁😁😁
 
Elimu ya Kunyaland ikienda mbali sana inafika kwa wakalenjin 😁😁 sasa uwaambie mambo ya black American sijui Italy, German, Japan, Columbus, Napoleon huko mpaka professors wao watakushangaa 😁😁😁
Tanzanian University examsπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

IMG_0227.png
 
Kwani ni uongo. This is how I performed in my final High School exams.

Kiswahili A
Maths A
English B
Business Studies A
History A
CRE A
Biology A
Chemistry A

Mean Grade A
If you can’t comprehend the underlying meaning to my statement, then for real your education system is bogus..πŸ˜„πŸ˜„
We ni taahira ukija kwenye shule za Tanzania
2022-4-28_13-57-51.PNG
2022-4-28_14-10-59.PNG
 
Elimu ya Kunyaland ikienda mbali sana inafika kwa wakalenjin 😁😁 sasa uwaambie mambo ya black American sijui Italy, German, Japan, Columbus, Napoleon huko mpaka professors wao watakushangaa 😁😁😁
Elimu ya jirani zetu ni upuuzi mtupu 🀣🀣🀣 no wonder hawajui chochote kuhusu Africa na maendeleo.. nimegundua kumbe ili wajibizane na sisi huku, Google ndio msaada wao.
 
Six hours kwenye treni inayo tembea 200 km per hour. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

View: https://x.com/zakaria8358/status/1790696506879525268?s=46&t=4z9N13N0auLdtU4DeJ6fYw

Nilikua nasema hapa bus kutoka Mombasa kwenda Nairobi ni 7 hours inakuaje SGR inachukua another 7hours including from SGR station to destinations kwasababu ukiangalia all station ziko nje ya miji lazma umalize 1hr again πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Yani Sioni economic impact ya SGR zaidi ya kua ni white elephant project na ukiwaambia ukweli wanakua wakali kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom