Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alafu unataka watalii wajionee vipi wanyama pori!!
Usitake kutudanganya bhana.
Watalii gani!?
What is the purpose ya kujenga hiyo reli!?
Boresheni reli yenu ya kawaida ili watalii wapande.
Sisi TZ tumeboresha MGR yetu ambayo watu/watalii wanatembea kwa mwendo wa 90-110km/hr huku wakifurahia mandhari ya asili.
Ila OUR SGR imeundwa kwaajili ya rapid transit.
Ninyi endeleeni kuunda excuses kila leo.
 
Hata ndege pia mlikuja kwa kiherehere hiki, tuliza kijambio na tuletee majaribio ya double stack kwanza alafu tuendelee
 
Aaaah wapii.
Masaa 6 na usheheenaa.
Halafu Dar to Dom ni 500+kms na tunaenda kwa masaa 3.
Enda kwa website ya sgr alafu book train kutoka Nairobi kwenda Mombasa uangalie arrival itachukua how long.
 
Majaribio hayajafanyika we tulia yafanyike kijana.
Bado hatujamaliza majaribio
Kila dakika inayopita Kama hilo dude lenu halifanyi kazi ndio gap tunazidi kuipanua. Sasa endeleeni kufanya test miaka mitatu ama engine zinashida😅😅
 
Namboole Stadium. Not CAF approved.

1000059413.jpg
 
Back
Top Bottom